malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Mhhh kichocho navyojua mimi ,mwishoni ndiyo yanatoka matone ya damu ila mwanzo mkojo unakua mweupe tu.Habar wakuu,kama nilivyoleta kwenu ugongwa huo wa mtoto wangu nanikachukua hatua yakwenda hospital ya rufaa akapimwa mrejesho wa kwa kwanza kipimo katika mkojo usio na damu hakuonekana nitatizo,vipimo vya siku ya pili akapimwa mkojo uliokuwa umechanganyikana na damu majibu yakatoka ana kichocho
Tukapewa dawa ya kichocho plazquantel 600mg yaan vidongo 4 vya mg600,mtoto akaanza kutumia usiku wa juzi,usiku huo huo alikojoa mkojo kiasi Cha kikombe Cha kahawa baadae asubuh ya Jana akanywa kidonge Cha pili,
Sasa kuanzia hapo asubuh ya Jana mpaka jioni akawa amekunyw amekunywa maji kiasi Cha Lita moja na nusu lakini wakati wote mkojo anakojoa wenye damu kabisa,Sasa Leo asubuh amemalizia kidogo Cha mwisho,nakuazia asubuh hiyo Hadi kufikia usiku huu amekunywa maji jumla Lita1.5 lakini mkojo Amekua anakojoa kidogo kidogo katika makopo mkojo wenye mchanganyiko na damu Sasa nimeukusanya mkojo wote waleo siku mzima ambappo amekunywa maji Lita moja na nusu
Na asubuh ya kesho ataanza dawa hii ya NITROFURANTOIN-100mg atakunywa 1×2, Leo asubuh dawa ya prazquantel 600mg amemalizia ila Hadi Sasa anakojoa damu naambatanisha nipicha ya mkojo ameokojoa siku mzima baada ya kunywa maji lita1.5
Msaada wenu nimpeleke hospital Gani kubwa Zaid ambayo inawataalamu watakao baini nakulimaliza tatizo la mtoto wangu
Pia hospital hizo kubwa nikaonane na daktar anaetibu magonjwa yepi
Mkuu kichwa kiwaka moto kazi haziendi,hapa nawaza hospital Gani kubwa inafaa Zaid kupata suluhu ya hili tatizoMhhh kichocho navyojua mimi ,mwishoni ndiyo yanatoka matone ya damu ila mwanzo mkojo unakua mweupe tu.
Hatari sana hiyo mkuu ,mbona inatisha.
Du alazwe!?Tofauti ya vipimo vya siku ya kwanza na pili ni ipi?
Nashauri kama kuna hospital nzuri private nenda alazwe kabisa mpaka akae sawa maana huo mkojo ni hatari
Figo kapima?Habar wakuu,kama nilivyoleta kwenu ugongwa huo wa mtoto wangu nanikachukua hatua yakwenda hospital ya rufaa akapimwa mrejesho wa kwa kwanza kipimo katika mkojo usio na damu hakuonekana nitatizo,vipimo vya siku ya pili akapimwa mkojo uliokuwa umechanganyikana na damu majibu yakatoka ana kichocho
Tukapewa dawa ya kichocho plazquantel 600mg yaan vidongo 4 vya mg600,mtoto akaanza kutumia usiku wa juzi,usiku huo huo alikojoa mkojo kiasi Cha kikombe Cha kahawa baadae asubuh ya Jana akanywa kidonge Cha pili,
Sasa kuanzia hapo asubuh ya Jana mpaka jioni akawa amekunyw amekunywa maji kiasi Cha Lita moja na nusu lakini wakati wote mkojo anakojoa wenye damu kabisa,Sasa Leo asubuh amemalizia kidogo Cha mwisho,nakuazia asubuh hiyo Hadi kufikia usiku huu amekunywa maji jumla Lita1.5 lakini mkojo Amekua anakojoa kidogo kidogo katika makopo mkojo wenye mchanganyiko na damu Sasa nimeukusanya mkojo wote waleo siku mzima ambappo amekunywa maji Lita moja na nusu
Na asubuh ya kesho ataanza dawa hii ya NITROFURANTOIN-100mg atakunywa 1×2, Leo asubuh dawa ya prazquantel 600mg amemalizia ila Hadi Sasa anakojoa damu naambatanisha nipicha ya mkojo ameokojoa siku mzima baada ya kunywa maji lita1.5
Msaada wenu nimpeleke hospital Gani kubwa Zaid ambayo inawataalamu watakao baini nakulimaliza tatizo la mtoto wangu
Pia hospital hizo kubwa nikaonane na daktar anaetibu magonjwa yepi
Ndo nataka nitoke Huku mkoani nitafute hospital kubwa Zaid kama dar au Dodoma hiviTofauti ya vipimo vya siku ya kwanza na pili ni ipi?
Nashauri kama kuna hospital nzuri private nenda alazwe kabisa mpaka akae sawa maana huo mkojo ni hatari
Walipimo damu wakasema figo hamnaFigo kapima?
Poleni sana. Yaweza kuwa ni ugonjwa mwingine zaidi ya kichocho.Walipimo damu wakasema figo hamna
Dozi ya kichocho aliianza juzi usiku amemaliza Leo asubuhPoleni sana. Yaweza kuwa ni ugonjwa mwingine zaidi ya kichocho.
Navyoelewa kichocho kina dawa zake za vidonge, ukimaliza dozi na tatizo linaisha.
Possibly NEPHRITIC SYNDROME.Habar wakuu,kama nilivyoleta kwenu ugongwa huo wa mtoto wangu nanikachukua hatua yakwenda hospital ya rufaa akapimwa mrejesho wa kwa kwanza kipimo katika mkojo usio na damu hakuonekana nitatizo,vipimo vya siku ya pili akapimwa mkojo uliokuwa umechanganyikana na damu majibu yakatoka ana kichocho
Tukapewa dawa ya kichocho plazquantel 600mg yaan vidongo 4 vya mg600,mtoto akaanza kutumia usiku wa juzi,usiku huo huo alikojoa mkojo kiasi Cha kikombe Cha kahawa baadae asubuh ya Jana akanywa kidonge Cha pili,
Sasa kuanzia hapo asubuh ya Jana mpaka jioni akawa amekunyw amekunywa maji kiasi Cha Lita moja na nusu lakini wakati wote mkojo anakojoa wenye damu kabisa,Sasa Leo asubuh amemalizia kidogo Cha mwisho,nakuazia asubuh hiyo Hadi kufikia usiku huu amekunywa maji jumla Lita1.5 lakini mkojo Amekua anakojoa kidogo kidogo katika makopo mkojo wenye mchanganyiko na damu Sasa nimeukusanya mkojo wote waleo siku mzima ambappo amekunywa maji Lita moja na nusu
Na asubuh ya kesho ataanza dawa hii ya NITROFURANTOIN-100mg atakunywa 1×2, Leo asubuh dawa ya prazquantel 600mg amemalizia ila Hadi Sasa anakojoa damu naambatanisha nipicha ya mkojo ameokojoa siku mzima baada ya kunywa maji lita1.5
Msaada wenu nimpeleke hospital Gani kubwa Zaid ambayo inawataalamu watakao baini nakulimaliza tatizo la mtoto wangu
Pia hospital hizo kubwa nikaonane na daktar anaetibu magonjwa yepi
Ndio kitu ganiPossibly NEPHRITIC SYNDROME.
Ni ugonjwa ambao mtoto anakuwa na pressure iliojuu (hypertension) na anakuwa anakojoa mkojo wenye damuNdio kitu gani
Je mwanao miguu yake inavimba au uso wake unavimba?, na hapo nyuma alishasumbuliwa na ugonjwa wa kukohoa au maambukizi ya Njia ya hewa.Ndio kitu gani
Fika hospitali, omba kuonana na Bingwa wa upasuaji njia ya mkojo (Urologist)Habar wakuu,kama nilivyoleta kwenu ugongwa huo wa mtoto wangu nanikachukua hatua yakwenda hospital ya rufaa akapimwa mrejesho wa kwa kwanza kipimo katika mkojo usio na damu hakuonekana nitatizo,vipimo vya siku ya pili akapimwa mkojo uliokuwa umechanganyikana na damu majibu yakatoka ana kichocho
Tukapewa dawa ya kichocho plazquantel 600mg yaan vidongo 4 vya mg600,mtoto akaanza kutumia usiku wa juzi,usiku huo huo alikojoa mkojo kiasi Cha kikombe Cha kahawa baadae asubuh ya Jana akanywa kidonge Cha pili,
Sasa kuanzia hapo asubuh ya Jana mpaka jioni akawa amekunyw amekunywa maji kiasi Cha Lita moja na nusu lakini wakati wote mkojo anakojoa wenye damu kabisa,Sasa Leo asubuh amemalizia kidogo Cha mwisho,nakuazia asubuh hiyo Hadi kufikia usiku huu amekunywa maji jumla Lita1.5 lakini mkojo Amekua anakojoa kidogo kidogo katika makopo mkojo wenye mchanganyiko na damu Sasa nimeukusanya mkojo wote waleo siku mzima ambappo amekunywa maji Lita moja na nusu
Na asubuh ya kesho ataanza dawa hii ya NITROFURANTOIN-100mg atakunywa 1×2, Leo asubuh dawa ya prazquantel 600mg amemalizia ila Hadi Sasa anakojoa damu naambatanisha nipicha ya mkojo ameokojoa siku mzima baada ya kunywa maji lita1.5
Msaada wenu nimpeleke hospital Gani kubwa Zaid ambayo inawataalamu watakao baini nakulimaliza tatizo la mtoto wangu
Pia hospital hizo kubwa nikaonane na daktar anaetibu magonjwa yepi
Tena dozi yake huwa ni yakunywa mara moja navyofahamu!Poleni sana. Yaweza kuwa ni ugonjwa mwingine zaidi ya kichocho.
Navyoelewa kichocho kina dawa zake za vidonge, ukimaliza dozi na tatizo linaisha.
wapime mkojo vipimo vya figo then ndio wahamie kwenye damu pia ubadili hospital mkuu ikiwezekana kesho wakisema hamna basi geukia maombi japo hujasema upo mkoa gani watu wakakusaidia kukupa sehemu sahihiWalipimo damu wakasema figo hamna
Presha ya mtoto huwa ikojeNi ugonjwa ambao mtoto anakuwa na pressure iliojuu (hypertension) na anakuwa anakojoa mkojo wenye damu
Niko mkoa wa tabora,nawaza kwenda hospital kati ya dar au dom Sasa niende hospital ipi ndo nasubiria mawazo yenywapime mkojo vipimo vya figo then ndio wahamie kwenye damu pia ubadili hospital mkuu ikiwezekana kesho wakisema hamna basi geukia maombi japo hujasema upo mkoa gani watu wakakusaidia kukupa sehemu sahihi