Shinbet18
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 255
- 263
Good morning my beloved members! Natumai mmeamka salama.Leo niwape nilicho kiona mwaka jana huko Gabon.
Nilifikia kwenye jiji la Port- gentil Kwa matembezi ya kawaida kuangalia fursa za biashara.Jiji lile pia wanaliita Mandji.Nilipo pokelewa na mwenyeji wangu katika uwanja wa ndege wa port gentile nilifikia kwake kama yeye alivyofikia kwangu alipokuja Tanzania.
Asubuhi yake akanipeleka mitaa tofauti ya lile jiji kuangalia biashara zinavyoendeshwa.Jiji lilikuwa safi na lenye mpangilio unaovutia sana mpaka raha.
Kilichonistajabisha ni unifomu za biashara.Yaani kila duka au bao ni biashara aina moja tu.Sijaona mtu aliye changanya nguo sukari dawa mafagio pamoja.
Kama ni nguo basi hutaona kingine.Kama ni matunda hutaona kingine zaidi ya matunda.Kama ni electronics hutaona mchele hapo kama wabongo wanavyo changanya bidhaa.
Mwenyeji wangu Oliver akaniambia huo ni utaratibu waliojiwekea wafanyabiasha kote Gabon.Nilivutiwa sana.
Nashauri bongo pia tufanye hivyo kuepusha kupokonyana wateja asanteni.