Mrejesho: Sina Mimba

Unashangilia ujinga badala utafute mume uolewe utulie unaruka ruka mwisho uje umpelekee kijana wa watu atakaejipendekeza kukuoa kitu kama hiki....
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-17-22-38-57-633_com.google.android.googlequicksearchbox-edit.jpg
    569.3 KB · Views: 6
Kipindi hiki tutakuwa tuna tumia kinga aisee. Sikujua kama nilikuweka kwenye hali ya wasi wasi kiasi hiki.
 
Kwa hiyo tarehe 7 uliliwa?
I see!
 
Ila Watu mna Siri, yaaani Sisi tuko busy na Umeme, Mkaa, Maji, sukari na misiba! Kumbe kuna watu wanamwagiana ndani? Duh
 
Ulipoandika uzi wa mwanzo ilikuwa siku ya 19...

Unapoandika uzi huu leo ni siku ya 22...

Subiri hadi baada ya siku 10 hivi hiyo mistari miwili itajitokeza tu...
 
Ulipoandika uzi wa mwanzo ilikuwa siku ya 19...

Unapoandika uzi huu leo ni siku ya 22...

Subiri hadi baada ya siku 10 hivi hiyo mistari miwili itajitokeza tu...
Mwenye dhambi huna Amani, dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…