MREJESHO: Sugar mamy amepatikana.

MREJESHO: Sugar mamy amepatikana.

Romantic Boo

Member
Joined
Dec 28, 2018
Posts
22
Reaction score
6
Habari za weekend wana jamvi.

Awali ya yote napenda kuchua nafasi hii muhimu kusema asanteni wote kwa michango yenu. Vilevile kuwaomba radhi wale wote tuliopishana kauli au waliokwazika kwa namna moja ama nyingine katika uzi wangu uliopita.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Kwa ufupi kijana wenu nimefanikiwa kupata mwanamke. Ingawa nimemkuta akiwa tayari ni mama wa watoto wawili (single mother), lakini nathubutu kusema hakika huyu mama ni murembo haswaaaaaaaaa. Tangu niwe naye sijawai kujuta kabisa, kiukweli nina amani na furaha tele kuwa naye.

Pia ninashukuru sana kuona hana fake id kwenye mapenzi, ni mtu ambaye akisema nakupenda ujue anamaanisha hivyo, kwa kifupi hana drama drama za kipuuzi. Kokote ulipo mrembo wangu "M" naomba ufahamu kwamba NAKUPENDA SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vibenteni wanaongezeka kwa kasi ya kimondo, ila amini amini nakwambia kuishi na single mother nisawa na kumkimbia fisi wakati ukiwa umemwibia mfupa wake, ila yote ya yote goodluck!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za weekend wana jamvi.

Awali ya yote napenda kuchua nafasi hii muhimu kusema asanteni wote kwa michango yenu. Vilevile kuwaomba radhi wale wote tuliopishana kauli au waliokwazika kwa namna moja ama nyingine katika uzi wangu uliopita.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Kwa ufupi kijana wenu nimefanikiwa kupata mwanamke. Ingawa nimemkuta akiwa tayari ni mama wa watoto wawili (single mother), lakini nathubutu kusema hakika huyu mama ni murembo haswaaaaaaaaa. Tangu niwe naye sijawai kujuta kabisa, kiukweli nina amani na furaha tele kuwa naye.

Pia ninashukuru sana kuona hana fake id kwenye mapenzi, ni mtu ambaye akisema nakupenda ujue anamaanisha hivyo, kwa kifupi hana drama drama za kipuuzi. Kokote ulipo mrembo wangu "M" naomba ufahamu kwamba NAKUPENDA SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umetisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mkuu kwa kukubali kuwa baba wa hiari kwa hao watoto
 
oyoooooooooooooo free boat
 
Back
Top Bottom