Mrejesho: Tatizo langu la kupata mkojo tena dakika chache kila baada ya kumaliza kukojoa

Kipimo hakiwez niletea shida kwenye dick usimamaji pia au kidonda ktk njia ya mkoja Hadi kwenye kibofu labda kikanichubua ndani kwa ndan nakuacha kidonda
 
Mimi naona wewe huna tatizo,hata mimi nikinywa maji mengi hasa kuanzia lita 1 kukojoa nusu saa huwa haipiti na naenda mara kwa mara
 
Mimi naona wewe huna tatizo,hata mimi nikinywa maji mengi hasa kuanzia lita 1 kukojoa nusu saa huwa haipiti na naenda mara kwa mara
Ukinywa maji Lita moja utaenda chooni Mara ngap kwasiku
 
Navyoona una Incomplete Bladder Emptying ambayo inaweza kutibiwa kwa dawa za kawaida tuu.

Labda tujue walikupa dawa gani mkuu wangu.
Baaada yakuona hawaona chochote kwenye vipimo... walinipa Cipro na declofenac nshamalaiza dozi Ila Hali iko vile vile
 
mkuu fanya mazoezi asubuhi na jioni hilo tatizo litaisha mara moja, wewe mkono ndo chanzo chako cha kutoa taka mwili, we piga tizi la kutosha ulete mrejesho
 
Kwanini hufanyi mapenzi mara kwa mara na mkeo? Unapata maumivu wakati wa tendo ama? Daah pole sana aisee!
 
Ndugu umenena vyema kabisa kua tatiso lipo kichwani, maana Mimi pia nilikua na ili tatizo nikapimwa vipimo vyoote alivyosema mtoa mada na sikukutwa na tatizo nikaambiwa tatizo ni msongo wa mawazo na nikweli nilikua na hofu kubwa ya Mambo mbali mbali ktk maisha yangu, waliponipa ushauri nikachukua hatua ikanisaidia kumaliza Hilo tatizo, hata Sasa ikinitokea hali ya msongo hua inanijia tena.
 
kuna comment nimejieleza vizuri, kifupi hayo unayopitia nilishapitia hadi vipimo upivyopima ila kubwa ni msongo wa mawazo na hofu nilipofanyiwa ushauri nilipona. Hivyo jitahidi kujipa amani hata Kama unapitia magumu kiasi gani.
 
Pole sana jaribu dawa zetu za asili utpona msongo wamawazo.
 
Ungesema hapa hapa tukafaidika wengi mkuu.
Sawa.
Kwa hali inayompata angetatua tatizo la gas. Nimewahi kuwa na hiyo hali nilihangaika sana Muhimbili bila mafanikio, na siyo Muhimbili tu na Hospital nyingine kabla sijaenda hapo.
Mwishoni nilitumia dawa za wa Pemba pale Kariakoo karibu na daladala za Tegeta na Mwenge zinaposimama. Nilipewa dawa ya kuchanganya na uji baada ya hapo unaendesha hatari ila unainywa usiku.
Baada ya siku 3 nikawa mzima kabisa. Na hata hiyo hali ikijirudia ndio dawa natumia.
Asante
 
jina la hizo dawa mkuu, msaada
 
Pole sana... hilo tatizo mara nyingi huwapata watu wenye kisukari...
 
tupe maelezo yaliso sahihi ya iyo dawa inaitwaje ama jina la muuzaji hapo dukani
 
Kwa hiyo mzizi unatibu watu waliorogwa ?
 
Iyo Urethrogram nikiionaga mtu amewekewa mwili wote unanisisimkaga
 
Oya nimesoma hapo juu et utiwe kitu kwenye dushe ***** bora nife tu hapa naona mwili unasisimka htr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…