Mrejesho: Tatizo langu la kupata mkojo tena dakika chache kila baada ya kumaliza kukojoa

Mimi napenda sana kunywa maji mengi ila imefikia hatua sasa naogopa kunywa hayo maji mengi kwa kuhofia kukojoa mara kwa mara na wakati mwengine hata glass moja ya maji naweza kuhofia kunywa kwenye mazingira ambayo si rafiki na chooni.
 
Nakumbuka uzi wako ule dah pole sana kumbe bado hujapata nafuu, hicho kipimo daktari amekuambia kitagharimu kiasi gani cha pesa
Tukiwaambia mitishamba ni hazina hamuwezi kuelewa!
 

Mimi mkuu ni number 4,6,7,8,9,10

Ila mimi mpaka ninywe maji mengi na huwa inakuwa sana kama nikinywa bia.

Wenzangu wanaweza kuka hata bia ya 3 ila mimi ya kwanza tu tayari na hapo mpaka inakuwa kero.
 
Ulinitumia njia gani mkuu
 
Jaribu pia kupunguza gharama, ulishawahi kunitajia gharama ya dawa ya pumu nilichoka mwenyewe.

Nashukuru Mungu mwanangu amepona kwa gharama nafuu.
Duh huyu jamaa ana bei kwenye tiba zake hata mimi nilishindwa nikapona kwa dawa za hospital
 
Jaribu pia kupunguza gharama, ulishawahi kunitajia gharama ya dawa ya pumu nilichoka mwenyewe.

Nashukuru Mungu mwanangu amepona kwa gharama nafuu.

Madam Demi , PUMU kwa watoto ni changamoto inayosumbua wazazi wengi sana kwenye jamii.

Nadhani si vibaya ukishea hapa hiyo TIBA iliyoponesha PUMU kwa mtoto wako. Wanajf wanufaike.

-Kaveli-
 
Kipimo kitaalam kinaitwa urethrocystoscopy
Kinatumia waya mwembamba wenye diameter mithili ya ule mpira wa kukojolea (urine catheter)
wenye camera kwa mbele na kinachochukuliwa kwenye camera kinakuwa displayed kwenye screen kubwa

Madhara ya kipimo;kuleta michubuko kwenye njia ya mkojo ambapo hyo michubuko inapopona inaacha makovu ambayo yanaweza kuziba njia ya mkojo hapo baadae

Ushauri;tumia dawa kwanza
Endapo dawa hazitoleta matokeo chanya ndipo ufanye hicho kipimo
 
Madam Demi , PUMU kwa watoto ni changamoto inayosumbua wazazi wengi sana kwenye jamii.

Nadhani si vibaya ukishea hapa hiyo TIBA iliyoponesha PUMU kwa mtoto wako. Wanajf wanufaike.

-Kaveli-
Siijui kwa jina..nilipewa na mzee mmojq kutoka Mombo. If interested nikupe namba yake
 
...Jaribu kuacha kunywa Maji au Kimiminika chochote kuanzia saa Tisa Alasiri uone Hali itakuwaje. Pole Sana.
 
Mkuu Nina tatizo kama la kwako kil ulichoandika hapa..tafafhali Kama umepata matibabu nishauri na Mimi niende wapi mwenye tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…