Mrejesho:Tumpe jina gani binamu yangu kati ya haya

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,311
Reaction score
1,297
Asalaam,

Shukrani kwa wote,

Mlotusaidia kuchagua jina, nilileta uzi hapa unaosema; Tumpe jina gani binamu yangu kati ya haya

Shukrani za dhati ziende kwenu mliochangia kulingana na mada ilivokuwa ikihitaji bila kuwasahau mlioeenda nje ya topic pia nawashukuru. Final, kijana wetu anaitwa Allan sababu ndiyo jina lililochaguliwa na wengi kuliko mengine.
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom