Asalaam,
Shukrani kwa wote,
Mlotusaidia kuchagua jina, nilileta uzi hapa unaosema;
Tumpe jina gani binamu yangu kati ya haya
Shukrani za dhati ziende kwenu mliochangia kulingana na mada ilivokuwa ikihitaji bila kuwasahau mlioeenda nje ya topic pia nawashukuru. Final, kijana wetu anaitwa Allan sababu ndiyo jina lililochaguliwa na wengi kuliko mengine.