Hat-Trick
Senior Member
- Jun 15, 2020
- 117
- 382
Pia soma Ujira mdogo wa Tsh 4,600/ kutwa kwa vibarua muhimu kiwanda cha PESPI Mbeya plant. Dkt. Tulia nakuomba tembelea Kiwandani kuna wapiga kura wako
Huenda hii thread ilikuwa ni sababu naamini hapa kuna watu wa kila aina, nafurahi ujumbe ulifika na kufanyiwa kazi.
Sasa hivi vibarua hao wanalipwa 7,100/= per day hii ni wiki ya pili wameongezewa pesa kutoka 4,600/= mpaka 7,100/=
Vijana kazi zipo changamkia fursa ili upate pesa halali ili uweze kumudu mahitaji yako.