Mrejesho: Ujira mdogo kiwanda cha Pepsi umefanyiwa kazi, sasa wanalipwa 7,100/=

Hat-Trick

Senior Member
Joined
Jun 15, 2020
Posts
117
Reaction score
382
Vijana kazi zipo changamkia fursa ili upate pesa halali ili uweze kumudu mahitaji yako.
 
Utaratibu wa kupata kazi upoje?
 
Matajiri bwana sasa hiyo Tsh 100 ya nini?
Inaweza isiwe na maana kwa mtu mmoja, ila kwa tajiri analipa watu wengi.

Kwahiyo ukilipa watu wengi hiyo Tsh 100 inakuwa pesa kubwa tu.

Tena ni Tsh 100 kwa siku, maana yake ni Tsh 3,000 kwa mwezi kwa mtu mmoja.
 
Aliyeshiba daima hamjui mwenye njaa
 
Nchi hii kuna watu masikini sana! Yaani Tshs.7,100/= kwa siku inakusaidia nini! Tujaribu kuwafundisha watu wetu kufikiri! Hizo ni kazi za watu wasiotaka kushughulisha vichwa vyao !
 
Nchi hii kuna watu masikini sana! Yaani Tshs.7,100/= kwa siku inakusaidia nini! Tujaribu kuwafundisha watu wetu kufikiri! Hizo ni kazi za watu wasiotaka kushughulisha vichwa vyao !

Unaweza kuta wewe unae lipwa zaidi ya hiyo ndo masikini.Mjini watu wengi wanaishi kwa neema za Mungu na si kipato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…