gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 685
- 967
ilikua nchi ngapi kiongozi? na bei ya ufundi je?Wakuu juzi nilileta Uzi hapa kuomba msaada baada ya mtoto kupasua kioo cha TV, nashukuru nilipata mafundi wazuri sana k/KOO nimewekewa kioo kipya KWA Tsh.350,000/=, saizi mambo safi kabisa, Fundi mwenyewe anapatikana kwa namba hii 0655282973
ilikuwa nchi 32 hiyo hela pamoja na ufundi mkuuilikua nchi ngapi kiongozi? na bei ya ufundi je?
ni Samsung mkuuSamsung or Singsung?
Km ni samsung nchi 32 kioo kwa laki 3ni Samsung mkuu
Iikuwa Flat ama Box ?ilikuwa nchi 32 hiyo hela pamoja na ufundi mkuu
Model gani ya samsung, led au lcd?Wakuu juzi nilileta Uzi hapa kuomba msaada baada ya mtoto kupasua kioo cha TV, nashukuru nilipata mafundi wazuri sana k/KOO nimewekewa kioo kipya KWA Tsh.350,000/=, saizi mambo safi kabisa, Fundi mwenyewe anapatikana kwa namba hii 0655282973
ni flat mkuuIikuwa Flat ama Box ?
LED mkuuModel gani ya samsung, led au lcd?
Nunua TV nyingine wewe Acha kurepair Electronic Equipments---- Hasa TV Screen and Screen za Simu... Povu linaruhusiwa..Wakuu,
Juzi nilileta Uzi hapa kuomba msaada baada ya mtoto kupasua kioo cha Tv, nashukuru nilipata mafundi wazuri sana Kariakoo nimewekewa kioo kipya kwa Tsh.350,000/=, saizi mambo safi kabisa, Fundi mwenyewe anapatikana kwa namba hii 0655282973.
mkuu remote zipo k/koo pale unapata tuMimi ninayo SAMSUNG LED,32,ninatafuta remote, baada ya kuvunjika kwa bahati mbaya
Mkuu hii TV yangu ina king'amuzi ndani, yaani tangu yaanze mambo ya kulipia mimi huwa ni bure tu, naangalia bbc, aljeezira, TV za kenya na za ndani, so sikutaka kununua nyingine kabisaNunua TV nyingine wewe Acha kurepair Electronic Equipments---- Hasa TV Screen and Screen za Simu... Povu linaruhusiwa..
Nenda kariakoo yale maduka ya barabarana ya kuelekea karumeMimi ninayo SAMSUNG LED,32,ninatafuta remote, baada ya kuvunjika kwa bahati mbaya
mkuu hata yangu ilikuwa hivyo maana kioo kikifa inakuwa haidisplay kituHuyo fundi anaweza kutengeneza TV iliyokufa display kwingine nzima ila tu haionyeshi
Tv almost zote za samsung na Lg kuanzia inches 32 zina inbuilt decoder zote sema watu hawajuiMkuu hii TV yangu ina king'amuzi ndani, yaani tangu yaanze mambo ya kulipia mimi huwa ni bure tu, naangalia bbc, aljeezira, TV za kenya na za ndani, so sikutaka kununua nyingine kabisa
Mm ni mmoja wapo mkuu nisiyejua namna ya kutumia inbuilt decoder,nipe elimu kidogo ili niwapumzshe dstv na hz 20 za kila mwezi.Tv almost zote za samsung na Lg kuanzia inches 32 zina inbuilt decoder zote sema watu hawajui