Mm ni mmoja wapo mkuu nisiyejua namna ya kutumia inbuilt decoder,nipe elimu kidogo ili niwapumzshe dstv na hz 20 za kila mwezi.
Natumia Lg na ina inbuilt decoder.
Huwezi kuwapumzisha dstv kwakuwa utanasa channel zaidi ya 200 ila zitakazoonyesha ni kama 23 nyingine ziko scrambled. Tafta antena hizi za startimes yani elekeza uelekeo wa antena za startimes then waya wa antena chomeka kwenye tv. Nenda settings chagua digital tv chagua auto search ita search ikimaliza zitakuwa zimeingia nna muda nimetumia ila nina hisi channel inayoonyesha ninkuanzia 18 kuoanda mpaka 42 hivi