mrejesho,utapeli pari match

mrejesho,utapeli pari match

Joined
Oct 14, 2013
Posts
52
Reaction score
25
wadau woote asanteni sana kwa mchango wa mawazo wenu, nilileta tatzo la pari.match kugoma kunipa pesa yangu lakin juzi wamenitumia pesa yote, kunakaka yangu aliwapigia.sim akawatukana sana na kuwapiga biti ya hatari, wakasema wanathibitisha. na ndan ya siku 3 zilizopita wamezituma zooote,na ninaiman dhumuni lao ilikuwa kunitapeli,natanguliza shukran zangu zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Mkuu, uliwapiga parefu nn wakaingiwa na tamaa cyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana aisee Siku nyingine achana na kampuni za kihuni hizi.
 
wadau woote asanteni sana kwa mchango wa mawazo wenu, nilileta tatzo la pari.match kugoma kunipa pesa yangu lakin juzi wamenitumia pesa yote, kunakaka yangu aliwapigia.sim akawatukana sana na kuwapiga biti ya hatari, wakasema wanathibitisha. na ndan ya siku 3 zilizopita wamezituma zooote,na ninaiman dhumuni lao ilikuwa kunitapeli,natanguliza shukran zangu zote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kaka
 
Back
Top Bottom