robertjackline
Member
- Oct 14, 2013
- 52
- 25
Hongera Mkuu, uliwapiga parefu nn wakaingiwa na tamaa cyowadau woote asanteni sana kwa mchango wa mawazo wenu, nilileta tatzo la pari.match kugoma kunipa pesa yangu lakin juzi wamenitumia pesa yote, kunakaka yangu aliwapigia.sim akawatukana sana na kuwapiga biti ya hatari, wakasema wanathibitisha. na ndan ya siku 3 zilizopita wamezituma zooote,na ninaiman dhumuni lao ilikuwa kunitapeli,natanguliza shukran zangu zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana aisee Siku nyingine achana na kampuni za kihuni hizi.
Hongera kakawadau woote asanteni sana kwa mchango wa mawazo wenu, nilileta tatzo la pari.match kugoma kunipa pesa yangu lakin juzi wamenitumia pesa yote, kunakaka yangu aliwapigia.sim akawatukana sana na kuwapiga biti ya hatari, wakasema wanathibitisha. na ndan ya siku 3 zilizopita wamezituma zooote,na ninaiman dhumuni lao ilikuwa kunitapeli,natanguliza shukran zangu zote
Sent using Jamii Forums mobile app