Mrejesho wa biashara ya nafaka na elimu niliyoipata

Mrejesho wa biashara ya nafaka na elimu niliyoipata

Joined
Jul 9, 2022
Posts
39
Reaction score
32
Kwa mara ya kwanza nilikuwa humu kuandika kuhusu biashara ya nafaka hasa mahindi sidhani kama ina miezi miwili, naifanya na naendelea kuifanya, ifikapo mwezi wa kumi nitaleta majibu lakini tunakatishana tamaa kuliko uhalisia!

Nilipata comment nyingi sana na wapi mahindi yanapatikana, nilijifunza sana! Katika maisha usiogope ila chukulia kufanya kitu jaribu.
 
ifikapo mwezi wa kumi nitaleta majibu
Mwezi wa kumi ndo huu . Tupe mrejesho
Unafanya biashara ya nafaka zipi?
Unatoa wapi?
Unauzia wapi?
Bei ya kununua ?
Bei ya kuuza?
Gharama mpaka mzigo kufika mji zipoje?
Changamoto ni zipi?
Unauza mwenyewe kwa mlaji au unawauzia wafanya biashara?
 
oooh mkuu bado nadunduliza kdogo mahind, nina kijana ananunua nauzia kahama kwa bei ya jumla mkuu, changamoto ni kwamba kijana hana kasi inayotakiwa maana analeta mara moja anakimbia kwa mke anakaa wk mbil lkn ukiwa na mtu mwnye kujua thaman ya mda ni biashara nzr sana na kama ww ndo unaenda kukusanya utapata hela mkuu
 
Unachukulia wapi mkuu
 
Mwezi wa kumi ndo huu . Tupe mrejesho
Unafanya biashara ya nafaka zipi?
Unatoa wapi?
Unauzia wapi?
Bei ya kununua ?
Bei ya kuuza?
Gharama mpaka mzigo kufika mji zipoje?
Changamoto ni zipi?
Unauza mwenyewe kwa mlaji au unawauzia wafanya biashara?
Habari ndugu yangu.umeuliza swali zuri Sana naomba utakapo pata jibu nijulishe pia maana nina swali hilo hilo kama la kwako jamaa yangu.
 
Back
Top Bottom