eliva the king
Member
- Jul 9, 2022
- 39
- 32
Mwezi wa kumi ndo huu . Tupe mrejeshoifikapo mwezi wa kumi nitaleta majibu
oooh mkuu bado nadunduliza kdogo mahind, nina kijana ananunua nauzia kahama kwa bei ya jumla mkuu, changamoto ni kwamba kijana hana kasi inayotakiwa maana analeta mara moja anakimbia kwa mke anakaa wk mbil lkn ukiwa na mtu mwnye kujua thaman ya mda ni biashara nzr sana na kama ww ndo unaenda kukusanya utapata hela mkuuMwezi wa kumi ndo huu . Tupe mrejesho
Unafanya biashara ya nafaka zipi?
Unatoa wapi?
Unauzia wapi?
Bei ya kununua ?
Bei ya kuuza?
Gharama mpaka mzigo kufika mji zipoje?
Changamoto ni zipi?
Unauza mwenyewe kwa mlaji au unawauzia wafanya biashara?
Unachukulia wapi mkuuoooh mkuu bado nadunduliza kdogo mahind, nina kijana ananunua nauzia kahama kwa bei ya jumla mkuu, changamoto ni kwamba kijana hana kasi inayotakiwa maana analeta mara moja anakimbia kwa mke anakaa wk mbil lkn ukiwa na mtu mwnye kujua thaman ya mda ni biashara nzr sana na kama ww ndo unaenda kukusanya utapata hela mkuu
Habari ndugu yangu.umeuliza swali zuri Sana naomba utakapo pata jibu nijulishe pia maana nina swali hilo hilo kama la kwako jamaa yangu.Mwezi wa kumi ndo huu . Tupe mrejesho
Unafanya biashara ya nafaka zipi?
Unatoa wapi?
Unauzia wapi?
Bei ya kununua ?
Bei ya kuuza?
Gharama mpaka mzigo kufika mji zipoje?
Changamoto ni zipi?
Unauza mwenyewe kwa mlaji au unawauzia wafanya biashara?
Sikupata majibu mkuu. Umeshawahi kufanya au ulikua unaplan za kufanya?Habari ndugu yangu.umeuliza swali zuri Sana naomba utakapo pata jibu nijulishe pia maana nina swali hilo hilo kama la kwako jamaa yangu.
Nilikuwa na plan za kufanya mkuuSikupata majibu mkuu. Umeshawahi kufanya au ulikua unaplan za kufanya?
Poa mkuu pamojaNilikuwa na plan za kufanya mkuu