username required
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 343
- 1,069
Karibuni sanahaya tutakuja
sawaNilikuja na wanangu. Nitakupa feedbsck PM baadhi ya vitu mkuu.
karibu sanaNitakapokuwa Dar, nitakuja kukuunga mkono.
Kila la kheri mkuu,tuliopo mikoani tutakuja kukuunga mkono!Nilipost biashara yangu ya Pub humu ambayo ipo kinyerezi mahakamani road inayoitwa Runway Pub.
Hakika muitikio ni mzuri sana tofauti na mitandao mingine kama insta.
Wana JF wengi humu wananisapoti vizuri sana . Watu kuacha 30,50 kawaida sana wengine mpaka laki huko hakika inanipa nguvu sana .
Utumieni vizuri huu mtandao ni wa muhimu sana .
View attachment 3099357
View attachment 3099359
Pia bila kusahau kila jumapili tuna karaoke kutoka kwa King of Karaoke Allen Soul. Huyu Allen Soul ndiye muafrica pekee aliyechaguliwa kushiriki mashindano ya Karaoke duniani yatakayofanyika America.
View attachment 3099361
Karibuni sanaKila la kheri mkuu,tuliopo mikoani tutakuja kukuunga mkono!
Good 👍Nilipost biashara yangu ya Pub humu ambayo ipo kinyerezi mahakamani road inayoitwa Runway Pub.