Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Aisee nina shida na hizo pilipili niuzie basi
Hongera sana mkuu. Binafsi nina ndoto kubwa ya kulima pilipili kwa ufanisi wa hali ya juu, nilishawahi kujaribu kupanda demo bahati mbaya zilidumaa lakini nilivuna. Asante sana kwa kunitia moyo, nami nakutakia kila la heri katika kilimo cha pilipili.
Ukiweza kulima pilipili alafi ukatengeneza zile chachandu fresh kwenye makopo ukauzaa its much better. Sema hata kuuza moja hamsini sio mbayaa
Wow! zinapendeza hongera, vipi zinachukua muda gani hadi kuvuna?, kwenye hiyo demo umekutana na changamoto gani hasa?, zinazaliana ipasavyo? Ukivuna mara moja ndiyo basi ama unaendelea kuvuna kama zile nyanya chungu?
Naziomba hizo[emoji39]
Wow! zinapendeza hongera, vipi zinachukua muda gani hadi kuvuna?, kwenye hiyo demo umekutana na changamoto gani hasa?, zinazaliana ipasavyo? Ukivuna mara moja ndiyo basi ama unaendelea kuvuna kama zile nyanya chungu?
Naziomba hizo[emoji39]
Kazi nzuri karibu shambani, mie ni mkulima wa pilipili huu ni mwaka wa tatu Sasa Niko mkoa bt ukiwa na tatizo kuhusu pilipili usisite kunitafuta , nakutakia mafanikuo mema.Zimechukua miezi 3 na zaidi kidogo
Hizi una chuma tu, mfululizo.
Changamoto sijaona kusema kweli. Ila ngoja niingie kwenye kilimo kikubwa tuone,
Kazi nzuri karibu shambani, mie ni mkulima wa pilipili huu ni mwaka wa tatu Sasa Niko mkoa bt ukiwa na tatizo kuhusu pilipili usisite kunitafuta , nakutakia mafanikuo mema.
Unapo sema mfululizo una manisha nini? . Mimi nalima matikiti kigamboni huko, naweza kujaribu na hiyo kitu.Zimechukua miezi 3 na zaidi kidogo
Hizi una chuma tu, mfululizo.
Changamoto sijaona kusema kweli. Ila ngoja niingie kwenye kilimo kikubwa tuone,
Unapo sema mfululizo una manisha nini? . Mimi nalima matikiti kigamboni huko, naweza kujaribu na hiyo kitu.
Zinakua tayari kuchumwa baada ya muda gani?
Kitu kizuri ni kua umefanya demo kwanza, maana mambo ya kilimo ukiingia kichwa kichwa inakula kwako mazimaaa.
Kimsingi nimetokea kuamini katika kilimo hasa hiki cha mazao ya kumwagilia na ya muda mfupi.
Ukizingatia maji mbolea na madawa.
Zao lolote unatoboa
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kuadd value more profit.Ukiweza kulima pilipili alafi ukatengeneza zile chachandu fresh kwenye makopo ukauzaa its much better. Sema hata kuuza moja hamsini sio mbayaa