Mrejesho wa demo: Kilimo cha pilipili


Ushahuri huu nauchukua, thanks
 
[emoji122] ila ukilima kilimo kikubwa baada ya faida usisahau kujipongeza [emoji482][emoji23]
 
Hongera sana mkuu. Binafsi nina ndoto kubwa ya kulima pilipili kwa ufanisi wa hali ya juu, nilishawahi kujaribu kupanda demo bahati mbaya zilidumaa lakini nilivuna. Asante sana kwa kunitia moyo, nami nakutakia kila la heri katika kilimo cha pilipili.
Vipi mkuu naweza kupata wapi soko la mkojo wa sungura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…