UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,885
Habari up town fellas n most of all my fellow Gentlemen
Hayawi hayawi ndio yamekua, leo ndio siku ambayo binafsi niriisubiri na kuandalia muda wa kutosha kwa kuakikisha namaliza vimeo vya magufuri mapema, nakufatilia dili zangu zote zisije niaribia siku yangu hii ambayo naimani itakua ni moja kati ya very special experince ya maisha yangu.
Waungwana leo ndio naenda kukutana na Dr baada ya kumchombeza kwa kipindi takriban wiki tangu nikutane nae pale hospital baada ya muda mrefu wa kupoteana tangu primary.
Kwa kifupi najiona kama mpya leo maana daah nikikumbuka nilipotoka na rafu nilizochezewa na watu ambao sikuwafikiria daah Dunia hii acheni tuu.
Guys kwa nilivyo muona pale hospital wengi mlibeza macho yalikua yanazingua ila sio kweli yani huyu mdada ni phenomena!, aisee sijui ata Nilikua wapi miaka yote Daah.
Kwa chating za whatsap, na short phone call anasound anamisimamo flani hivi ambayo inahitaji ujielewe sio kidogo, ila napata moyo nakujiwekea credit kadhaa mezani mana amenionesha ushirikiano mkubwa.
Napata moyo zaidi sabu last talk imenipa extra confidence na nguvu zaidi na shauku ya mtoko wa leo haha.
Mazee ntawapa mrejesho hapa hapa baada ya mtoko maana mida inanikimbia af natoka nje ya mji chuma inaenda BAGAMOYO...,