Mrejesho wa FIESTA DSM 2017

Mleta mada kuna mtu muhimu sana ume msahau..
Huyu ndio alifunika wote nadhani Mr Blue a.ka Kabaisa.
 
Vipi mlikesha au iliishia saa sits usiku?
 
Kabla ya show kubwa kama hii ni lazima wasanii wafanyiwe Rehearsal ya kutosha.
 
Jux alinogesha sana baada ya kumpandisha kassim mganga na q chillah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…