Putin The Great
Member
- Jul 28, 2018
- 63
- 55
Unahisi kwann natakiwa nikujibu???Nimeuliza tu demu ana manyoya mwili mzima yeye ni mbwa mwitu? Kiupole tu nijibu
Tumeamka... twende tukapashe mwili jotoNaona mmelala sasa
Tumeamka... twende tukapashe mwili joto
Ndugu mjumbe, humu naona kila mwenye khanga aneigeuza mbeleko.... hadi napata wivu mie😩😩😩😩Mdomo wangu umebaki wazi Mh mjumbe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndg Mjumbe unatakiwa uendane na mazingira la sivyo utashindwa kusurviveNdugu mjumbe, humu naona kila mwenye khanga aneigeuza mbeleko.... hadi napata wivu mie[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Ndugu mjumbe, ili niendane na tabia ya jukwaa inatakiwa nibadilishe avatar, wakati sijui jinsi ya kubadilisha hizi kitu....tehteehhNdg Mjumbe unatakiwa uendane na mazingira la sivyo utashindwa kusurvive
Hujui kuandika kwa paragraph ama?
Kwa msaada wa tatizo lako wasiliana na Mh Mwenyekiti kwa njia yoyote ile uipendayo ya mawasilianoNdugu mjumbe, ili niendane na tabia ya jukwaa inatakiwa nibadilishe avatar, wakati sijui jinsi ya kubadilisha hizi kitu....tehteehh
Mimi najuaga wewe ndiyo putinV.Putin ndo anamfaham , mie nilichora tu kwa hisiaa
Sawa ndugu mjumbe, ngoja nipitie kule mitaa ya magorofani kama nitamkosa are-D....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Kwa msaada wa tatizo lako wasiliana na Mh Mwenyekiti kwa njia yoyote ile uipendayo ya mawasiliano
Upite pia Garden fulani waweza kumpata vizuri tu.Sawa ndugu mjumbe, ngoja nipitie kule mitaa ya magorofani kama nitamkosa are-D....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
hahahahhaha ila wewe basi tuUpite pia Garden fulani waweza kumpata vizuri tu.
Mrejesho muhimu ndg mjumbe
Dah mie nishakimbia beach huku ,SAA hz natafuta kongoro lilipoTumeamka... twende tukapashe mwili joto
sheikh ni yule yule badili rangi ya kanzu tu hapambona kama mwandiko ni ule ule
mkuuHahahahaha! kumbe mkuu na wewe umeliona hilo eeh!
Ama kweli Tembo hajifichi kwenye shamba la tembele.
Wagunduzi wa mambo bado wanafanyia utafiti swala hiloNajua baada ya miezi michache tutaona ID moja ikijibizana katika uzi huu
Huenda walioanaYaliishia wapii
DumeNatumai mu wazima wa afya,kwanza namshukuru Mungu kwa uzima na afya,namshukuru pia kwa kunipatia vlad, wengi mlinibeza na kutoa maneno makali lakini nashukuru pia kwa mlioniunga mkono juu ya kuweka wazi hisia zangu,nimempata aliye sahihi kwangu chaguo la moyo wangu,Mtu ambaye nilikuwa naomba kila Siku nimpate mwanaume mwenye hofu ya Mungu,msikivu,mwenye kujali,na anayejua mwanamke wake anapenda nn, japo hapa wengi mtabeza kwakuwa mshamzoea Vlad in Mtu wa kuponda na anayeonekana tofauti ni hivi ukimpenda Mtu mtazame yeye kama yeye mjue kiundani sio kwa comment zake wala kwa nyuzi zake za Jf,bali kwa matendo yake unayoyaona,nakupenda Vlad wangu mapenzi makubwa unanionyesha, zawadi pekee ni kuendelea kukupenda,kukujali na kukuheshimu,kuwa proud kokote coz am all yours!!najua ushawahi kuwa na mahusiano kabla hujakutana nami,pengine hukupata chaguo sahihi,Mimi ndo chaguo lako sahihi wacha wakatae,wapinge ndo ishakuwa hakuna namna,wasiopenda watapata tabu sana....................................................Najua upo na utasoma ujumbe wako huu love you my putin(mshkaji wangu,rafiki yangu,mtunza vyangu visiri mwenye kunisitiri,fundi mitambo wangu[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] NB;Usidharau sauti yako,usidharau hata wazo lako unaloliona ni la kipuuzi,tena kwakuwa ni la kipuuzi huenda wengi hawafikirii kulifanya hiyo ni faida simama nalo,tunawaza makubwa sana ama Yale ambayo tayari yamesha fanikisha wengine,kama sauti yako inakusukuma kufanya jambo hata kama halijawahi kufanywa ama limefanywa na yeyote lifanye kuna kitu ndani yake, dunia inabadilika kila iitwapo Leo,na mahitaji yetu yanabadilika kutokana na mazingira ,usisubiri watu wagundue ndo ufate "KUWA WA KWANZA WAKUFATE" hebu niambie in wazo gani uliwahi kuwa nalo likadharauliwana sasa imekuwa ni kitu kinacho kupigisha hatua au kitu kikubwa kwenye maisha yako!??? Mlopita wake wenza mtaniwia radhi pengine hamkujua thamani yake mm African princess naijua............Nawasilisha. Mrs Vlad.