Mrejesho wa HIV: kuhusu majibu tata ya kipimo cha HIV ,SD BOOLINE

not found 404

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
322
Reaction score
170
Wakuu wangu hamjambo...

Previously nilileta mada hapa ,kuhusu majibu tata ya kipimo cha HIV ,SD BOOLINE.

NIMEFUATA USHAURI WENU BAADHI KAMA:-

1.kupima kwa kipimo kingine kama determine n.k

2. Kwenda kwa wataalamu kunafuata.
Najua kule presha inakuaga kubwa,

Na hivi wakipima wanaka dump kwe bin, hijui what next,

So kupima mwenyewe unafuatilia step by step (ukiwa umeshajiandaa kisaikolojia lakini.

KIPIMO CHA SASA NIMESOMA NA KUFUATA HATUA ZOTE.





Kwa sasa natulia na sitaki tena kuji expose kijinga jinga.

Nimelala na PO+ tofauti tofauti kwa vipindi tofauti tofauti vya miaka 6, mara ya mwisho ni 9/9/2017,

Nilisex na Mchepuko wangu ambao ni Positive kwa kumpima mwenyewe mara mbili, nilishasex nae pia miezi ya 7/7/2016 jambo lililonikimbiza BUGANDO KUTAFUTA PCR/PRC nilipotibua akiwa hedhi bahati mbaya.

Pia mapema September 2017 (kama nilivyoeleza kwenye thread iliyopita, nilisex na mwanamke ambae baadae niliambiwa nimuathirika kwa miaka5 sasa.

Mwaka 2011 nilijiexpozi na ve+ huko jirani na Tanga.

2013 nilijiexpose na ve+ huko Hai Bomang'ombe.

2014 na Huko Same K njaro na Nyanda za Juu(Mufindi)

2015 Singida na Dar.

2016 Tabora na Shinyanga.

2017 TABORA NA MWANZA.

Ninahaja ya kupima.
Sijawahi kutumia condom toka kukja sex.
NABADILIKA.

STRESS SIO NZURI HATA KIDOGO.

NATARAJIA KUPIMA TENA FEB/14/2018.
Sijajua labda vipo domant.

GOD FORBID.
 
Kwa wanaume ni mara chache sana kupata ukimwi..muchubuko ndo huleta maambukizi kwa wanaume...pia maximum duration ya virusi huwa ni miaka kumi...unawza kujidhania mzima kumbe ushakufa ktambo...hata baada ya miaka mitano virus ulivyopata leo vinawza kuonekana.....bado UKIMWI ni pasua kichwa..weng sana wanao huu ugonjwa....vifo vingi vya kusababishwa na ugonjwa ni kwa sababu ya hii kitu...hata takwimu zinatisha kwa kweli....bas tu huwa zinafichwa
 

Well said mkuu
 
Nilisex na mmoja tu siku mbili nikakonda!
Ndugu hao wote umesex nao kwa kutafuta nini? Duh! Sio bure una pepo la mochwari weye[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Sasa maukimwi vipimo vya miez mi3 sita vya nn? Kama had miaka kumi?
 
Ukimwi si kufa, ata ivyo wengne skujua b4
 
Duh mkuu,hivi kanakua kapepo ee mtu kumeet v+, maana hata Mimi kila manzi nlikua nikigusa naambiwa pale sio,duh
 
Uwiiii hatarii mnooo
Ukiangalia nyakati hizi utadhani hakuna ukimwi
Watu tumejisahau kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…