Mrejesho wa HIV: kuhusu majibu tata ya kipimo cha HIV ,SD BOOLINE

Mbona izo unogold hazionekan vzur na hizo ndo confirmatory
Taratibu za upimaji HIV haziruhusu kutumia unigold otherwise umeshatumia determine au bio line vika react kwahivyo maadamu determine haija react basi hakukua na haja ya kurudia tena kwa unigold hayo ni matumizi mabaya ya vitendaniahi.
 
Sio uni gold mkuu.

Ni sd bio mkuu
 
Ulijuaje hao wote ni + Mkuu??

Hata hivyo Ukimwi siyo Big Deal...ni upungufu tu wa kinga mwilini...ukizingatia afya yako kinga inaimarika...
 
Mkuu una nyota ya Ukimwi +,inaonekana hutochomoka huko ipo siku utakamatika!
Ushauri:kuwa mwoga tumia Kinga.
 
Huenda huyo Mwanamke alikuwa anatumia ARV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…