Mrejesho wa kupata Mwenza-Mume

fijo

Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
14
Reaction score
17
Nawasalimu wana JF wote,

Rejea thread yangu ya kutafuta mume

Ninapenda kumshukuru Mungu Baba, Muumba wa vyote kwa kuweza kunikutanisha na mwenza wa maisha yangu ya hapa duniani,kwa hatua tuliyofikia sina budi kusema kuwa nimempata wangu.

Maana kule mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa,wote tutafanana na malaika watakatifu.

Ninapenda kushukuru uongozi wa JF kwa kuweka Love connect.

Pia ninapenda kuwashukuru wote waliojitokeza kutuma PM na waliotoa michango yao kupitia thread yangu.

Ninaomba Mungu awakumbuke na awajibu kwa kadri ya haja zenu.

Asante sana.
 
Ukiona hakuridhishi nishtue
 
Mimi nina nyota ya kupenda kuwaliwaza wanawake walio vurugwa na wenza wao.

Akikuzingua nitafute.
Haahaaa ...... natania.
BTW, hongera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…