drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 290 Mar 1, 2011 #1 wakuu baada ya kukomaa kwa mda nimefanikiwa kuiponya dv9000 lile tatizo la kuwaka blue light now ipo safi inafanya kazi kama kawa nimeona nirejeshe feedback kama nilivyoahidi hapa jamvini
wakuu baada ya kukomaa kwa mda nimefanikiwa kuiponya dv9000 lile tatizo la kuwaka blue light now ipo safi inafanya kazi kama kawa nimeona nirejeshe feedback kama nilivyoahidi hapa jamvini
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 290 Mar 1, 2011 Thread starter #3 VeniGan said: Well, congrats! Click to expand... thanks mkuu ucsahau kuna kitufe cha thanks kushoto kwako mkuu
VeniGan said: Well, congrats! Click to expand... thanks mkuu ucsahau kuna kitufe cha thanks kushoto kwako mkuu
Uncle Rukus JF-Expert Member Joined Jun 16, 2010 Posts 2,415 Reaction score 398 Mar 1, 2011 #4 Hongera mkuu.. Ila ujatuambia uligundua tatizo ni kitu gani na ulitumia njia ipi kulitatua hilo tatizo... Hii itatusaidia na sisi tulio kushauri na kujua tatizo lilipokuwa.
Hongera mkuu.. Ila ujatuambia uligundua tatizo ni kitu gani na ulitumia njia ipi kulitatua hilo tatizo... Hii itatusaidia na sisi tulio kushauri na kujua tatizo lilipokuwa.