Mrejesho wa Lipa namba

Mrejesho wa Lipa namba

Saad30

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
2,737
Reaction score
5,464
Habari wakuu.

Pesa yangu 120000 iliyotumwa kimakosa kwenye Lipa namba ya VODACOM 5757565 tarehe 28 mwezi wa jana,nimefanikiwa kuipata.

Pongezi kwa Mtandano wa VODACOM na Tigo kwa kufanya kazi yenu.

Hakika Haki ya Mtu haipotei.
 
Inabidi tumuulize process alizopitia hadi aipate, tunaweza kunifunza kitu

Kwako mleta mada..
Njia ni rahisi Sana.

Nilitumia kuongea nao kwa namba 100 alafu nikaona haitoshi nikatumia kuwasiliana nao kupitia What'saap.

Na Leo hii asubuhi wakaingiza pesa yangu 120000.

Inabidi uwe hasira na pesa yako.
Tuschukulie poa kwenye mambo ya hela.
 
Sawa mkuu, Ahsante kwa muongozo
 
Back
Top Bottom