Mrejesho wa mkaa wa kisasa

boyson onlye

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
1,108
Reaction score
1,397

Jana tu nimenunua kitabu leo nimetengeneza mkaa wa kisasa jumatatu jioni natarjia kuutumia na kuwapa majirani wautumie kwa majaribio

Nakaribisha wadau ambao wanatumia mkaa kwa wiki mnipe deals, nakaribisha partners wa hii project
 
Haujaeleweka vema kabsa!maelezo yako ni hafifu!
Oooh kuna thread humu ilikuwa imeanzishwa jins ya kutengeneza mkaa bila kukata miti, yaani ukiwa nyumbani hivyo leo nimefanya practical na kufanikiwa kutengeneza kama unavyoona kwenye picha hapo juu
 
Jana tu nimenunua kitabu leo nimetengeneza mkaa wa kisasa jumatatu jioni natarjia kuutumia na kuwapa majirani wautumie kwa majaribio

Nakaribisha wadau ambao wanatumia mkaa kwa wiki mnipe deals, nakaribisha partners wa hii project
Mkuu umetumia mashine manual au ya umeme
 
How? Si uongee kitu kinachoeleweka watu tukuelewe otherwise hukuwa na haja ya kupost hii hbr hapa
Nimetengeneza mkaa kwa kutumia vumbi la mkaa lisilohitajika na wauza mkaa na material mengine, kuna jamaa alieleza humu anauza kitabu chake jinsi ya kutengeneza na akatangazia machine zake lakini mimi sijatumia machine nimetengeneza kwa mikono tu kama kitabu kilivyonielekeza
 
Safi, jaribu, then tafuta masoko kuanzia majirani hapohapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…