Kibongo bongo nadhani ni yeye labda possibly sababu ya umaarufu wake tunahisi labda alikua wa 1,though hatunaga clear records/statistics za kueleweka za WaTanzania walioko nje na shughuli wanazofanya especially kwa miaka ile ya Kina Mengi.
Dah sorry mkuu i thought umeongelea ACCA,kwa Tz Mengi sio wa 1 kupata CPA sababu alivyokuja Bongo na ACCA yake wkt anafanya CPA alifeli mara kibao mpk kuja kuipata imeshamchukua muda wa kutosha tu.,kulikua na watu wenye hizo CPA tayari.
😂😂😂😂yuko vzr mno, kimaisha na kiimani, tatizo lipo hapo kwenye umri
Hell No,laana kama hizi mtoa mada zikemee kwa nguvu zote...uchawi huu👺Haya ni maamuzi magumu sana ambayo kwangu si sahihi. Hata kwenye biashara tunafundishwa umuhimu wa portfolio mkuu, unaachaje kazi wakati huna pa kushika? Hukumsikia Dk Lutengwe? Ulitakiwa ukomae na ujasiriamali hivyo hivyo ukiwa umeajiliwa hadi pale utakaposimama ndo uache kazi, ipo siku utajuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdanganyeni, au ngoja mfate huo ushauri kichwa kichwa muone moto wake. Hasa kama una familia mke atakukimbia kwa njaa.Hell No,laana kama hizi mtoa mada zikemee kwa nguvu zote...uchawi huu[emoji84]
🚮Mdanganyeni, au ngoja mfate huo ushauri kichwa kichwa muone moto wake. Hasa kama una familia mke atakukimbia kwa njaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kujiajiri mkuuRef my previous post
Namshukuru mwenyezi Mungu muumba wq mbingu na ardhi kwa pumzi na afya njema aliyonijaalia
ilinichukua miaka mitano na nusu kuacha kazi ya serikalini nashukuru Mungu kwa walionisupport juu ya uamuzi wangu huo
nliwakwepa wale wote ambao nlihic watanikatisha tamaa hasa wazazi wangu ilibidi nimtengenezee mazingira ya kutokuniomba hela ya kila mwezi kwa kumwekea pooltable linalomwingizia 150000 kila mwezi
Ninachofanya baada ya kuacha kazi
Ninalima matikiti maji,Zukini na pilipili za kuwasha nimeanza na tikiti maji heka 3 pilipili za kuwasha nusu heka na zukini nusu heka
Zukini na pilipili ndo zao ninalolitegemea kulifanya liwe zao la biashara nimelilima chache kwasababu ckuwahi kulima zukini na pilipili so natafuta experience
tikiti ziko poa ntawaonyesha picha za zilipofikia
Biashara
nimefanya biashara ya mbolea ya mavi ya kuku kwa muda wa week 2 nimeingiza faida ya laki4 though changamoto imekuja kwenye savings kila nkipata hela mahitaji ya shamba yanaongezeka mf dawa mbolea ya dukani kuwalipa posho vibarua nk
Uzuri wa kujiajiri
unaamua ufanye nini muda gani mwenyewe yaani kama nkiamua nisafiri hata nw naweka mipango sawa naenda popote inshort nipo huru
changamoto kuubwa nliyoiona
Savings na mifuko ya jamii
faida inapaswa ihifadhiwe kiac kikubwa kuliko kukitumia mara nyngi tunatumia hela pale tunapokua nazo tusipokua nazo ni ngumu sana kuzitumia natamani nijifunze mbinu ya kisave
natamani nijiunge na ule mfuko binafsi wa penshen tatizo huku Jaribu(kibiti) hakuna hicho kitu
View attachment 848013View attachment 848015View attachment 848016
Sent using Jamii Forums mobile app
Mengi CPA si alikua anafeli kila wakati, kaja kuipata baadae...au nimechanganya madesa
Acha kumjbu mchawi huyo, kwenye jamii hakosekan mchawiKwani anatafuta ushindi?
[emoji252] [emoji479]
kama anaweza kuishi porini mnipe asiwe yule anayetamani ma I phone 6me nimeolewa bwana, ila nna rafiki yangu bado yuko single
It is never too late waswahili tunasema "ukikumbuka umewahi"Wewe hukustahili kuajiriwa ata kdg, naamini ungeanza mapema kujiajiri ungekuwa mbali mno, una mawazo positive sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa mkui ilo jina jambazi lazima mchumba akuogopeKama anajitambua hajazaa na hajafikisha 30, ni pm.
Yaan ndani ya mwezi tu yote hayoRef my previous post
Namshukuru mwenyezi Mungu muumba wq mbingu na ardhi kwa pumzi na afya njema aliyonijaalia
ilinichukua miaka mitano na nusu kuacha kazi ya serikalini nashukuru Mungu kwa walionisupport juu ya uamuzi wangu huo
nliwakwepa wale wote ambao nlihic watanikatisha tamaa hasa wazazi wangu ilibidi nimtengenezee mazingira ya kutokuniomba hela ya kila mwezi kwa kumwekea pooltable linalomwingizia 150000 kila mwezi
Ninachofanya baada ya kuacha kazi
Ninalima matikiti maji,Zukini na pilipili za kuwasha nimeanza na tikiti maji heka 3 pilipili za kuwasha nusu heka na zukini nusu heka
Zukini na pilipili ndo zao ninalolitegemea kulifanya liwe zao la biashara nimelilima chache kwasababu ckuwahi kulima zukini na pilipili so natafuta experience
tikiti ziko poa ntawaonyesha picha za zilipofikia
Biashara
nimefanya biashara ya mbolea ya mavi ya kuku kwa muda wa week 2 nimeingiza faida ya laki4 though changamoto imekuja kwenye savings kila nkipata hela mahitaji ya shamba yanaongezeka mf dawa mbolea ya dukani kuwalipa posho vibarua nk
Uzuri wa kujiajiri
unaamua ufanye nini muda gani mwenyewe yaani kama nkiamua nisafiri hata nw naweka mipango sawa naenda popote inshort nipo huru
changamoto kuubwa nliyoiona
Savings na mifuko ya jamii
faida inapaswa ihifadhiwe kiac kikubwa kuliko kukitumia mara nyngi tunatumia hela pale tunapokua nazo tusipokua nazo ni ngumu sana kuzitumia natamani nijifunze mbinu ya kisave
natamani nijiunge na ule mfuko binafsi wa penshen tatizo huku Jaribu(kibiti) hakuna hicho kitu
View attachment 848013View attachment 848015View attachment 848016
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini uzuri amejaribuKujiajiri sio ushind na kuacha kazi sio ushindi[emoji18][emoji18]
Vyote vinamatokeo + na -
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh unataka kumpa mke mkuu?Umeoa?