Mrejesho wa pili

Mrejesho wa pili

MBUZI MWENYE BUSARA

Senior Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
143
Reaction score
155
Karibu mwezi na kitu baada ya mke wangu kuwa na homework ya kutafakari umiliki wa nyumba niliyojenga kwenye kiwanja chake sasa amefunguka na kusema atapendelea tuandike Majina yetu wote (Mimi na yeye) kwenye umiliki wa hii nyumba.

Hata Mimi nimejipa muda wa kutafakari kwanza
 
Yan hata ungeandika jina lako peke ako... kisheria ana uwezo wa kwenda kuingia caveat kwenye hati yako ya nyumba kwa msajili wa ardhi.... na akalindwa kamaa ambavyo mngeandika wote wawili...
 
Haina haja ya kutafakari..., mke yupo sahihi!
 
Yan hata ungeandika jina lako peke ako... kisheria ana uwezo wa kwenda kuingia caveat kwenye hati yako ya nyumba kwa msajili wa ardhi.... na akalindwa kamaa ambavyo mngeandika wote wawili...
Mimi sina nia yoyote mbaya kama nilivyosema awali ni kulinda ndoa yetu tu kwani ana kaudhaifu ikiwa yake pekee yake
 
Back
Top Bottom