MBUZI MWENYE BUSARA
Senior Member
- Nov 24, 2019
- 143
- 155
Mimi sina nia yoyote mbaya kama nilivyosema awali ni kulinda ndoa yetu tu kwani ana kaudhaifu ikiwa yake pekee yakeYan hata ungeandika jina lako peke ako... kisheria ana uwezo wa kwenda kuingia caveat kwenye hati yako ya nyumba kwa msajili wa ardhi.... na akalindwa kamaa ambavyo mngeandika wote wawili...
Andikeni tu wote utakuwa umemaliza mchezo maana hawezi fanya kitu bila kupata ridhaa yakoMimi sina nia yoyote mbaya kama nilivyosema awali ni kulinda ndoa yetu tu kwani ana kaudhaifu ikiwa yake pekee yake
Hahahaha! Sio kivile!Kumbe mlioowa mna stress hivi [emoji276]
Hahahaha! Sio kivile!