Mrejesho wa sura ya zamadam

Mrejesho wa sura ya zamadam

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Nimefuatilia zamadam ni nini youtube kumbe Kuna archives za kutosha Sana.

Sikuwa well informed kwakuwa by the time Hilo neno limebuniwa Tanzania nilikuwa italy kwa 15 yrs late Mkapa era

Nilikuwa siko interested na Mambo ya Tanzania.

On zamadam

Nimeona MKE wangu kanisifu kwakuwa;

1. Kumbe zamadam Wana madushe makubwa.

2.Zamadam Wana sura za mstatili.

3.Zamadam hawana sura ya tabasamu Kama binadamu wa Sasa. Kifupi zamadamu hawezi kutabasamu namimi ndio nilivyo.
 
Back
Top Bottom