D dada g New Member Joined Aug 25, 2017 Posts 2 Reaction score 4 Nov 5, 2017 #1 Nimeleta mrejesho, miezi mitatu iliyopita niliomba ushauri kuwa sishiki mimba sababu ya sindano za uzazi nilizotumia. Asante kwa walionishauri, lakini nashukuru Mungu sasa ni mjamzito nilitumia dawa ya kienyeji ya Kihaya. Wahanga msikate tamaa!
Nimeleta mrejesho, miezi mitatu iliyopita niliomba ushauri kuwa sishiki mimba sababu ya sindano za uzazi nilizotumia. Asante kwa walionishauri, lakini nashukuru Mungu sasa ni mjamzito nilitumia dawa ya kienyeji ya Kihaya. Wahanga msikate tamaa!
Abuwhythum JF-Expert Member Joined Jan 7, 2015 Posts 837 Reaction score 495 Nov 5, 2017 #2 Sawa Dada g
kideko JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 296 Reaction score 217 Nov 5, 2017 #3 Hongera sana mkuu
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Nov 5, 2017 #5 Kila la heri na baraka.
Dividend JF-Expert Member Joined Jan 15, 2017 Posts 2,102 Reaction score 3,343 Nov 8, 2017 #6 Sawa, ila waelimishe na wengine waachane na hayo madawa ya kupanga uzazi, tumia njia za asili kupanga uzazi ukishindwa tumia condom
Sawa, ila waelimishe na wengine waachane na hayo madawa ya kupanga uzazi, tumia njia za asili kupanga uzazi ukishindwa tumia condom