Mrejesho: Wahudumu wa afya ngazi ya Manispaa ya Bukoba mkoa wa Kagera tunawashukuru sana JamiiForums

Mrejesho: Wahudumu wa afya ngazi ya Manispaa ya Bukoba mkoa wa Kagera tunawashukuru sana JamiiForums

Lakas Ganda

Member
Joined
Nov 28, 2023
Posts
8
Reaction score
6
Kwa Niaba ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii (C H Ws) BUKOBA MANISPAA, MKOA KAGERA. Tunawashukuru sana Uongozi wa JamiiForums .

Baada ya kuripoti changamoto yetu February 2024 ya madai Ya posho ya uhamasishaji wa ugonjwa mlipuko wa Murbug Tangu March 2023.

Hivyo changamoto yetu ilitatuliwa 7/5/2024 malipo yalifanyika siku hiyo. Na wa Mwisho alilipwa 5/9/2024. Tunawashukuru sana Kwa msaada wenu.

Tuendelee na Mapambano.

Pia soma:

~ DOKEZO - √ - Malalamiko ya posho ya CHWs ya uhamasishaji wa kujikinga na ugonjwa wa mlipuko wa Marburg Bukoba
~ BUKOBA: Baadhi ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii waliokuwa wanadai 'pesa za Marburg' walipwa
 
Back
Top Bottom