silver25 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 743 Reaction score 44 Mar 16, 2011 #41 Fangfang wewe hutakigi ubishi usio na maana na ndo maana umeweka na Ushahidi kabisaaaaaaaa,, sASA Fisadi Rosta ana sema nini yeye kama anaabudu Mibuyu atutokee hapa kwanza sisis tunamshukuru Mungu kwa Maajabu aliyo tuletea.
Fangfang wewe hutakigi ubishi usio na maana na ndo maana umeweka na Ushahidi kabisaaaaaaaa,, sASA Fisadi Rosta ana sema nini yeye kama anaabudu Mibuyu atutokee hapa kwanza sisis tunamshukuru Mungu kwa Maajabu aliyo tuletea.
sekulu JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 988 Reaction score 158 Mar 16, 2011 #42 Napenda Sana Mrema akiwa anahojiwa coz najua tu kuna kichekesho ataweka kati kati. Truth will set u Free
Napenda Sana Mrema akiwa anahojiwa coz najua tu kuna kichekesho ataweka kati kati. Truth will set u Free
silver25 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 743 Reaction score 44 Mar 16, 2011 #43 Teh eti mrema ni Comidian hata kwenye Campaign zake hutumia Comedy zake kuwateka wapiga kura Twhw