Mrema: CCJ ni matokeo ya kongamano la kina Butiku



Ni maneno gani ya uchochezi yaliyosemwa kwenye kongamano la Butiku kusema ukweli ni uchozezi nikikuambia wewe hufai ni uchochezi hayo ni mawazo yako unafikiri bila Kikwete Tanzania haitakuwepo

Wewe ndiye unaanza kuleta maneno ya uchochezi eti unasikia CCJ inahusisha watu kutoka Burundi na Rwanda humu JF hakuna watoto kuna watu wa fani mbalimbali sio watu wa kudanganywa namna hiyo ni wadadisi
 
Walichofanya ndugu zetu wa Madagascar ni kukataa kwa kauli moja n ardhi yao kukabidhiwa kwa Wakorea Kusini. Tanzania tumeshaanza kuwaondoa wazalendo kwenye ardhi yao na kuwakabidhi wageni. Hili ni jambo la hatari sana. Angalia ile thread ya Ukoloni mamboleo Tanzania ndiyo utaelewa tunasema nini. Kama ungekuwa mtu makini ungeelewa kuwa kilichofanyika kwenye kongamano la MNF kilikuwa ni ushauri wa kumsaidia rais aepukane na matatizo ya siku za mbele. Lakini kwa wale waliofukia vichwa vyao chini kwenye mchanga kama mbuni ndio wanaoona kuwa huo ni uchochezi.
 


we kweli luteni, cheo kikubwa lakini sio mwelewa.maneno waliyosema wakia butiku ni kama.
1. raisi amezungukwa na wezi
2.raisi yuko compromised
3.hawezi kufanya maamuzi magumu, 2010 tumtose

wewe haya maneno huoni kama ni ya uchochezi, yanahamasisha watu kumchukia raisi.its known as salvation. nakubaliana na wewe kwamba ni mawazo tu ya mtu lakini wale wanatofauti kubwa na sisi wananchi, they are leaders and they should no better.kuna watu wanawachukulia wao kama role models kwenye society. kwani hayo mawazo wangeyasema huko kwenye NEC ya CCM kuna ubaya gani. all i am tryn to say they didnt choose a better place kuyasema na isitoshe wote ni wana CCM. wao ilibidi kwenye NEC wapendekeze raisi hatufai ili 2010 wajumbe wa halmashauri wasimpitishe. sasa wanachotaka sisi wananchi tufanye nini.

NA mbona Mtikila amesema same words lakini yeye kakamatwa, na ana kesi mahakamani, reasons ni kwamba alitoa maneno ya uchochezi

na hilo la CCJ kuhusishwa na rwanda au burundi lilikuwa limeandikwa na gazeti moja, sikumbuki walisema nnchi ipi lakini its one of them, nitalitafuta nikuwekee huku uone mwenyewe na ni gazeti lipi.

tatizo sisi watanzania ni wasahaulifu,or we jus dont care.
 


Tatizo lako wewe unafikiri bado tuko kwenye chama kimoja lile kongamano lilikuwa si la CCM peke yao kwamba watapeleka maoni yao NEC

Hivi haya maneno yana uchochezi gani
is it not true kwamba
1. raisi amezungukwa na wezi
2.raisi yuko compromised
3.hawezi kufanya maamuzi magumu, 2010 tumtose

kinachotakiwa ni kutetea yaliyosemwa si kuwaita wachochezi bado kuna mengine mengi tu hayakusemwa wangepata muda wangesema yote let a spade be called spade not a big spoon na siku zote ukweli huwa unauma wasingeumia wangekaa kimya
 

ninavyoelewa mimi ni kwamba hayo maneno yanaweza kuwafanya wananchi wakasirike yaani yanaleta chuki, chuki nayo ni uchochezi. hii ni awamu ya nne, nyerere, mwinyi na mkapa wote walikuwa na makosa yao, hawa waikuwa wapi maana sijawahi kuwasikia wakikosoa. and why now towards the election,why not 2007 or 2008.

siasa za tanzania zina unafiki, wao wanataka tu uongozi hawana lolote, kama kikwete mwizi wao ni majambazi sasa wanasema raisi kazungukwa na wezi, hao wezi ndio wakinani, mbona hawajawataja majina

ndio kongamano halikuwa la CCM, wewe ukiona mzazi wako amepotea kidogo nyumbani, je utamuuliza au utawatangazia majirani maana wote mko nyumba moja yaani CCM, ikianguka nyumba si wote ni waathirika, yaani yale maneno hayajengi CCM, na tanzania kwa ujumla

na ukiangalia kwa kina sana, tanzania kuna chama kimoja tu CCM, upinzani hamna kabisa, ukijumlisha kura za wapinzani hazifiki 6% ya kura zote za uraisi 2005, wabunge nao hata 20 awafiki kati ya wabunge 300,

tanzania hamna siasa, ajira tu kwa mafisadi
 
So what!? Liwe zao la kongamano au warsha au mjadala, sisi tunataka mabbadiliko ya kweli-basi.
 
Wahenga wanasema siku zote maji hata yakichemka lazima yame baridi tena (0 degree centrigrate) kwa sababu ndio hali halisi ya maji. Mrema ni shushu na mashushu ni propagandists siku zote. Hata kama alikuwa "mpinzani" lakini yeye kihalisia ni kuwadi wa utawala uliopo madarakani. What else can we expect from Mrema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…