Mzee Mrema amewaasa wanasiasa wanaotaka kuchochea Vurugu nchini waache maramoja kwani wao ndege ziko uwanjani zinasubiri wavuruge nchi ziwarushe mpaka Ulaya.
Pepo mchafu toka
Pepo wa upumbavu na ujinga toka
Pepo uliyewaroga Watanzania toka.
Hii kauli niliisikia 2000 nikiwa mdogo kuwa ukimchagua mpinzani akileta vita watakaohangaika ni wamama na watoto
Hao wapinzani wakishapata madaraka wanaanzaje tena kuleta vurugu?Ninadhani watakaoleta macgafuko ni watawala waliopo maana kwa uchu wa madaraka walionao hawatakubali kuwatangaza wapinzani kushinda.Hicho ndiyo kitakachotokea endapo haki haitatendeka pale wapinzani watakaposhinda uchaguzi.
Mzee Mrema,ulishawahi kuwa mpinzani miaka ile ya 1992-1995,unataka kutuambia kuwa ulikuwa unataka kuvuruga amani ya nchi?Je,amani ni mali ya nani hapa Tanzania?