Ubwabwa ni slogan ya shibe kwa kila Mtanzania, lugha hii ipo katika mfumo wa kibiblia baadhi kuuelewa /kutafsiri inakuwa vigumu samaMlifuata ubwabwa Chauma na kuuhalalisha ushindi bandia wa Kizimjob
HUWEZI KUWA NA NJAA, AKILI ZIKAFANYA KAZI VIZURI, NEVER EVER, CHAKULA KWA KILA MTANZANIA KWANZA!, KWA BEI NZURI AMBAYO KILA MTANZANIA ATAIMUDU, TUNATAKA MCHELE UUZWE 800-1200 KWA KILO MOJA!,PAMOJA NA KUSTABILISE BEI ZA CHAKULA KWA WATANZANIA. (MTU NI AFYA NA SHIBE)
-INAKISIWA MAGONJWA MENGI MAHOSPITALINI KWA 50%,HUSABABISHWA NA LISHE DUNI HIVYO MWILI UNASHINDWA KUPIGANA NAYO!
NRNEMkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amesema watanzania wasiichukulie mzaha Sera ya Lishe Kwa Wote(sera ya Ubwabwa) inayonadiwa na chama hicho.
Mrema akiwa Tabora Mjini, amesema sera hiyo inalenga kwenda kuondoa kodi zote zilizopo kwenye vyakula huku ikihakikisha mazao ya kilimo yanapiganiwa kupata masoko na pembejeo ili watanzania waweze kulima na kuuza ili kuondokana na umaskini na matatizo yaambatanayo na ukosefu wa mlo kamili kama utapiamlo.
Mrema ameeleza kuwa kuelekea uchaguzi Mkuu sera hiyo itaingizwa kwenye ilani ya chama chao huku akieleza kuwa taifa ambalo watu wake wana njaa haliwezi kufanya uzalishaji mzuri na hata Maendeleo kwa ujumla.
Chanzo: Jambo TV
viongozi wa Tanzania hao😂Heheh
njaa inauma sanaHUWEZI KUWA NA NJAA, AKILI ZIKAFANYA KAZI VIZURI, NEVER EVER, CHAKULA KWA KILA MTANZANIA KWANZA!, KWA BEI NZURI AMBAYO KILA MTANZANIA ATAIMUDU, TUNATAKA MCHELE UUZWE 800-1200 KWA KILO MOJA!,PAMOJA NA KUSTABILISE BEI ZA CHAKULA KWA WATANZANIA. (MTU NI AFYA NA SHIBE)
-INAKISIWA MAGONJWA MENGI MAHOSPITALINI KWA 50%,HUSABABISHWA NA LISHE DUNI HIVYO MWILI UNASHINDWA KUPIGANA NAYO!
Unajitahidi kutetea lakini wapi hamna kitu.HUWEZI KUWA NA NJAA, AKILI ZIKAFANYA KAZI VIZURI, NEVER EVER, CHAKULA KWA KILA MTANZANIA KWANZA!, KWA BEI NZURI AMBAYO KILA MTANZANIA ATAIMUDU, TUNATAKA MCHELE UUZWE 800-1200 KWA KILO MOJA!,PAMOJA NA KUSTABILISE BEI ZA CHAKULA KWA WATANZANIA. (MTU NI AFYA NA SHIBE)
-INAKISIWA MAGONJWA MENGI MAHOSPITALINI KWA 50%,HUSABABISHWA NA LISHE DUNI HIVYO MWILI UNASHINDWA KUPIGANA NAYO!
Kutoka Nguvu ya Umma mpaka Ubweche what a fall? Usaliti na utapeli have a high price to pay!!HUWEZI KUWA NA NJAA, AKILI ZIKAFANYA KAZI VIZURI, NEVER EVER, CHAKULA KWA KILA MTANZANIA KWANZA!, KWA BEI NZURI AMBAYO KILA MTANZANIA ATAIMUDU, TUNATAKA MCHELE UUZWE 800-1200 KWA KILO MOJA!,PAMOJA NA KUSTABILISE BEI ZA CHAKULA KWA WATANZANIA. (MTU NI AFYA NA SHIBE)
-INAKISIWA MAGONJWA MENGI MAHOSPITALINI KWA 50%,HUSABABISHWA NA LISHE DUNI HIVYO MWILI UNASHINDWA KUPIGANA NAYO!
Sera safi hoja yenye nguvuHeee!!
Jamaa yupo serious kabisa akifoka kuhusu ubwabwa, hivi haoni wala kujiuliza mifumo na watu wanaosababisha huo ubwabwa kukosekana kwa wanannchi? Wakuu wa JF inabidi tumfumbue macho kwa
===
Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amesema watanzania wasiichukulie mzaha Sera ya Lishe Kwa Wote(sera ya Ubwabwa) inayonadiwa na chama hicho.
Mrema akiwa Tabora Mjini, amesema sera hiyo inalenga kwenda kuondoa kodi zote zilizopo kwenye vyakula huku ikihakikisha mazao ya kilimo yanapiganiwa kupata masoko na pembejeo ili watanzania waweze kulima na kuuza ili kuondokana na umaskini na matatizo yaambatanayo na ukosefu wa mlo kamili kama utapiamlo.
Mrema ameeleza kuwa kuelekea uchaguzi Mkuu sera hiyo itaingizwa kwenye ilani ya chama chao huku akieleza kuwa taifa ambalo watu wake wana njaa haliwezi kufanya uzalishaji mzuri na hata Maendeleo kwa ujumla.
Chanzo: Jambo TV
Wsliosababisha mchele usikamatike sokoni ni chama chako CCMHUWEZI KUWA NA NJAA, AKILI ZIKAFANYA KAZI VIZURI, NEVER EVER, CHAKULA KWA KILA MTANZANIA KWANZA!, KWA BEI NZURI AMBAYO KILA MTANZANIA ATAIMUDU, TUNATAKA MCHELE UUZWE 800-1200 KWA KILO MOJA!,PAMOJA NA KUSTABILISE BEI ZA CHAKULA KWA WATANZANIA. (MTU NI AFYA NA SHIBE)
-INAKISIWA MAGONJWA MENGI MAHOSPITALINI KWA 50%,HUSABABISHWA NA LISHE DUNI HIVYO MWILI UNASHINDWA KUPIGANA NAYO!