Midas Touch
Senior Member
- Jan 23, 2008
- 188
- 200
eventually mrema declairs that "presidency" is never a "big deal" with him anymore! .
eventually mrema declairs that "presidency" is never a "big deal" with him anymore! And that he goes for the parliamentary races at vunjo constituency in 2010. This is exactly what nyerere told him in 1995 at msasani when he invited him for discussion.
Mrema alifanikiwa kwenye kazi zake kuliko hao wengine wote mnaowasifia. Kama walivyokuwa Karume na Sokoine, wameonyesha sio lazima uwe profesa ili kuweza kutekeleza majukumu yako ipasavyo.
Kama ameamua kwenda kugombea ubunge ni jambo jema. Mimi namtakia kila la heri, kwa TZ baada ya Sokoine kwa mimi anafuata Mrema kiboko cha kweli cha mafisadi, majambazi na wavunja sheria wengine.
Tunakaribia mfupa nyama inakuwa tamu..... Mrema - Vunjo, Mbowe - Hai Urais Mengi patamu hapo! Mpaka kieleweke!

Mkuu,
Kumbe na wewe hili unajua? Mimi nimezipata hizo kutoka kule kusini kwamba kuna mtu anataka kuchukua form ya urais kupitia chama pinzani. Niwajuavyo CCM wanaweza kummaliza akiwa mzima mzima maana siri zake zote wanazo.
Kama mzee wetu Mengi ana wazo ni bora akaliacha maana watamvuruga kweli kweli!
Kyachakiche,Mtanzania, unazidi kunichanganya. Tumwagieni mambo hapa, huko kusini ni wapi na kwa akina nani ulizipata?