kwa nini usiweke picha sasa mkuuKwa kweli huyu dada ataniua mie jamani.
Mbona ananichanganya sana huyu m-ghana!!!??
Haya majicho kaa unaweza ukayala.
I love you Jack Appiah wherever you are.
Siweki hata picha wivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wivu kuiweka hapa Mkuu.Hili lidada ni shidaaaaMapicha picha yakowapi mkuu,??
Mkuu acha kabisa huyu dada, me hata Mungu ananiona hakika nampenda bure toka ndani ya mtima.Kweli mleta thread unajua kuchagua..big up sana..she is natural beauty..leo nimeona muvi yake stolen love...noma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ghana sio mbali nenda katangaze nia mkuuMkuu acha kabisa huyu dada, me hata Mungu ananiona hakika nampenda bure toka ndani ya mtima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni actress wa Ghana Mkuu,Ni kifaa cha kiafrika achaaaaumetuacha polini mkuu ndio nani?
Mkuu nasikia alimchanganyaga Waziri wa wizara moja huko Ghana balaa.
Moyo unauma hapa balaa,kisa huyu mwanamke.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti siweki picha wivu
kwa nini usiweke picha sasa mkuu