Mrembo(Actress)Jack Appiah


Acheni kumfananisha Sanchoka na vitu vya ajabu jamani
Ndugu unachekesha sana ...sanchoka ndo mavitu gani hayo, unafikiri kujifunua ovyo mbele ya watanzania ndo ishu? Ana nini anachofanya ama kumiliki kwa mfano ...au hizo pesa za kupewa kwa kujifunua ovyo.?
Na ni vishilingi vingapi...
unamfahamu jackie appiah vizur wewe..
kati ya matajiri wacheza filamu wote nigeria, yeye ni namba 4 wa utajiri wa Bilioni 1.7 za madafu yenu hapa tanzania endorsements za kutosha, na bado kampun kubwa zinahaha kupata saini yake tu
unafikiria mfano kusain mikataba ya pesa kubwa sharti ujifunue funue ovyo na kukaa uchi na kujianika instagram? Think again.
 
Sasa mkuu kumbe wewe unapenda kuwa Marioo samahani sana mi nilikuwa naangalia uzuri tu nisamehe chief kwa kutojua ambition yako na kudandia treni kwa mbele
 
Sasa mkuu kumbe wewe unapenda kuwa Marioo samahani sana mi nilikuwa naangalia uzuri tu nisamehe chief kwa kutojua ambition yako na kudandia treni kwa mbele
Acha ushamba ...hoja yako ni umarioo
Kwaio kwa mwanaume kuona ama kutambua mafanikio ya mwanamke ni umario? mafanikio.ya mwanamke yanapimwa na nini? Umalaya?
Kwaio na wanaopenda hao malaya akina sanchoka tuwaite nani...
intelligence quotient yako ni ndogo mno.
 
Nasikia ana UKIMWI OG.

Yaani HIV type 1
Sina uhakika.
Ila kuna filamu 1 nilimuona Amepurukuta mwili
Kama siyo yeye
Tuombe usiwe Ukimwi jamani
Pia.kuna Idi Edo.
Mzuriiiii
Alifungaga.Ndoa ya Kifahari Na Tajiri mmoja Mnigeria wakaenda zao US
Kitambo.kidogo watengana
So sad.
Sasa analeo watoto wa kuasili mapacha
Watu wanamzonga why asizae wake??
Wasijue kuzaa nako ni majaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kizuri zaidi she is very good upstairs
 
Acheni kupenda wake za watu nishabook hapo kitambo sana bado ananisumbua...
Anakuja bongo kunifuata jacky wangu ananikubali sana. ( in cheedy voice)

Xmass Boy.
 
Mkuu Inni Edo bhana cyo Idd El fitr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…