Pita huku hapa umekosea njia kwendraaaaaaa kifie uyole.
Hayo ndio inayofanya jamii forum kudhalaulika cku hizi, yani unafki na hasada ndio zimewajaa. Sasa Mange akiachwa na muwewe mtajipeleka nyie muokewe???
Why mna chuki binafsi jamii forum, nyie mmetembea na wanaume/wanawake wangapi?
Yy Mange km alikuwa na mwanaume wa pembeni smekosea, na nyinyi "wasafi" mnaonyooshea wenzenu vidole mnakosea.
Hebu kula mtu aweke list ya wanawake /wansyme zake tuone km kuna msafi kati yenu, hebu muogopeni Mungu.
Hukuwahii kuiona mi nishaisoma anamsimulia Mwamvita makamba
Acha kumuingiza Mola wako kwenye ujinga huu!!Mbona unakimbilia kulia lia!!JF itabaki kuwa JF miaka mia!sasa hata wewe ni member huoni kuwa upo katika kundi la wajinga wa JF!
Lol, unatafuta followers kinguvu hivyo.
Ili upate a lesson lazima nikufuate ulipo, kwani hujuo km fimbovya mbali haiui nyoka?
Mm sio km ww unamsema Mange pembeni. Kwenye website yake si unaingia kule na unaota sometimes followers wake wanampa makavu
akikosea.
Kuna ww usiyetaka kukosolewa, eti nakimbilia Mungu. Yes, I do, Matola. Bila Mungu si mm si chochote sijui ww mwenzangu
Pole mpaka unajiqoute na kuchanganya majina!!Kila mtu anamtegemea Mungu haswaa yule aloutambua uwepo wake!!unatukana afu unamtaja Mungu!!Kwenye misuto yenu Mungu hausiki!!He is SACRED uwe mwoga na hilo jina sio la mchezo kulitaja kila ujisikiapo sio shoga yako ni MTAKATIFU,muumbaji sio anko wako wala wa kwako pekee kujifanya unamtumia kama shield ya kutoambiwa ukweli!!Ni sawa na Mangeyakimshinda anapenda kusema Mungu atawalaani!!For what!!He is bussy rescuing souls na kufanya mambo ya maana sio kwenye uchakubimbi wako unamwingiza sio wa kuchezewa ogopa sana vibao vyake!!Actually, ni ww Ms. Lincoln na si Matola.
Naona umejiumba mwenzetu
Kuna mtu anajijibu mwenyeweee hhhhhhhaaaaaaa dawa imeanza kuingiaaaa cc Matola
Lol, unatafuta followers kinguvu hivyo.
Ili upate a lesson lazima nikufuate ulipo, kwani hujuo km fimbovya mbali haiui nyoka?
Mm sio km ww unamsema Mange pembeni. Kwenye website yake si unaingia kule na unaota sometimes followers wake wanampa makavu akikosea.
Kuna ww usiyetaka kukosolewa, eti nakimbilia Mungu. Yes, I do, Matola. Bila Mungu si mm si chochote sijui ww mwenzangu
Mwambie Mange aache uchafu awe anasafisha sebule yakee
Ha ha ha!!hadi huruma jamaniii!!Nmetoka kuangalia ule uzi wa mange kimambi asutwa uloletwa na Mrembo by Nature nimecheka kweli!!Chezea sindano wewe!!
Ya zamaniii ulichambaje sana na mrembo pale kati ila kulikuwa na manguliii!ni july last yearHiyo thread mbona siion ya zamani au mpyaaaaa
Ya zamaniii ulichambaje sana na mrembo pale kati ila kulikuwa na manguliii!ni july last year
Kim nana Paula kilaki Heaven on Earth geniveros Mrembo by Nature mnapitwa huku Mange anataka kuhamishia magazet yake huku pia
mange kabla ya yote hebu tupia picha ya mama ako mzazi kwanza hapa ndo mengine yafate
kivipi sikuelewwii mpenzi