Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
hawezi kuwa na furaha kwani roho za watu wengi sinasikitika juu yake.akitaka amani inabidi aombe radhi kitu ambacho hawezi fanya its too late kwan kasha gombana na watu kibao.
ila nilichojua kutoka kwa mange kutokana na hii issue ni haya mambo yafuatayo
1.mama ake ambaye hajawahi mwonyesha hata siku moja.
2.mange alicheat wakati yuko kwenye ndoa
3.hampendi mzungu anazuga tuu
4.ananuka maku
5.mama ake alikua beki tatu
6.ananuka mdomo
7.baba ake walimla kisamvu cha kopo
8.mange mwenyewe kaliwa samvu la kopo.

note.voda mnatufundisha nini kumsponsor huyu mtu?#vodacom tz#vodacom tz
mange hana furaha na maisha yake kwa nionavyo na akili zangu ndogo
japo anapretend kua happy kwa jinsi ilivyo
 
Vodacom Tanzania wapo humu na wanaona mambo yake mengi ya siri watu wameweka daah
 
Last edited by a moderator:

Hahaaaaa ulijuaje angesema ktk birthday ya my grandfuther hahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Sijawah kumsikia akimuongelea mama yake ye ni baba yake tu,,halaf anajipendekeza kwa wema huyoo sijapata ona

Na wema hajawahi hata kumtaja, alivyorudi bongo sijaona hata pic ya pamoja hapo ndio huwa najiuliza inakuaje
 

Nimejisikia vibaya sana,who are we to judge ........ila mange jamaniii punguza basi haya mambo ya mtandaoni ona sasa, unaishije hivi kila kona watu wanavinyongo na wewe????duuh my life can be bad in other ways lakini sichoki kumuomba Mungu anipe kibali mbele ya walimwengu.....nimejikuta tu nahuzunishwa na matukio yake
 
Kwani mwanamme haruhusiwi kusema ayajuayo? ni mwanamme lijali angalia niko jf muda gani na nina post vitu gani na nina comment kwenye post gani. hii ilya leo imeniudhi sana kusikia huyo mama kajiua kwa sababu ya kuwa bulled on manges blog

Achana nao bwana hawakosekani hao.Sisi tupe vitu tufurahi maana leo siku yangu imekua nzuri sana.
 
Hehehe kumekuchaaaaa.......ubuyu mtamu ni wa kuletewa mezani.......

Shoga leo nimefurahije?Jana mange kaniudhi sana kutukana hadi vitoto vimalaika visivyojua lolote.Tena kawaita future malaya na yule wa yule dada eti atakuja kua shoga!
 
Achana nao bwana hawakosekani hao.Sisi tupe vitu tufurahi maana leo siku yangu imekua nzuri sana.

Mtu anasema yule mama lazima analalwa na watoto wake na picha akaweka umeshaona mtu kama huyo kwenye maisha ya kawaida
 
Mtu anasema yule mama lazima analalwa na watoto wake na picha akaweka umeshaona mtu kama huyo kwenye maisha ya kawaida

Nakuambia jana nilikua nimeshika mdomo wakati masoma lile gazeti!
Yale sio matusi tu bali udhalilishaji!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…