Kuna sehemu nimewamention mkacheke et albet alisema kua Mange ananuka uchi vibayaa ndio maana kwenye email akasema amemchukia hawez kumsamehe
Hahaha hiyo Email ipo Wapi??
Ni shidaa ndio maana hua anasema oo sitaki kua karibu na watanzania huku kumbe anaogopa kutembelewa hhhhhaaaaa
Ipo humu pia na kwenye ule uzi mwingineee
Hahaaa
Nimeipenda hii
Kashikwa pabaya ametangaza vita na nargis! Pathetic kabayaaaaa
kamuweka mama ake imebidi akubali kusanda leo wameweka kaburi la mama ake dah utasema msitu wakati wenzie mshahara wangu wa mwanzo huo wa ualimu nilijengea kaburi tena na tiles juu
ye tajiri anaishia kunnua nguo kwenda kuwapa kina koku daaah
kweli pesa akili

We unasema kujengea kwa mshahara, watu tumejengea kwa boom....halafu yeye milionea mvaa LV original na CL anashindwaa..
Ama kweli asompenda mama hana maana
neno kuntu hilii
tutamsema mpaka atabadilika tu
alivyo mnafki leo ndo anajifanya kumfagilia mama ake lloooh siku zote alikua wapi?
Kashikwa pabaya ametangaza vita na nargis! Pathetic kabayaaaaa
Hahahaaa mpaka watu wachimbue picha mafichoni ndo anakumbuka ana mama....hahahaaa
Nargis mohamed au? Kamfanya nn?
ladykims@nifah@kim nana hebu na@dinazardeView attachment 222468
Hahahahahaha siye wengine watazamaji
haya ona sasa