Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Unapata Faida gani ????? Mwacheni m kaka wa watu dah !!! Too much sasa .unamchukia mtu kiasi cha kumzalilisha mume wake !!!! Go to hell with your evil spirit .umenishangaza sana wewe .kaaah
 
Unapata Faida gani ????? Mwacheni m kaka wa watu dah !!! Too much sasa .unamchukia mtu kiasi cha kumzalilisha mume wake !!!! Go to hell with your evil spirit .umenishangaza sana wewe .kaaah

Ila kumbuka alisema mume wa Wahida ni KingKong...
 
Haivutii

Isije kuwa ni yule mzungu uliekuwa unamfuatilia ukajua rijali kumbe kimeo, sasa unaona bora uchafue waume wa wenzio.
Hovyooo!!

Huweni kama nimesema ni msgs zinasambazwa houston? na mwisho nimeweka swali
 
Unapata Faida gani ????? Mwacheni m kaka wa watu dah !!! Too much sasa .unamchukia mtu kiasi cha kumzalilisha mume wake !!!! Go to hell with your evil spirit .umenishangaza sana wewe .kaaah

Hiyo msg inasambaa houston mie nimekopi na kupost
 
Hiyo msg inasambaa houston mie nimekopi na kupost

Watanzania wanapenda kuzusha mambo jamani. Huoston ukute wala hawajaonana nae kokote sema basi tuu. Lakini always the truth has a way of coming out so if its indeed true itajulikana one day-personaly i doubt he is gay.

Ila wazungu nao wana maajabu yao yule baba yao jessica Simpson alioa na kuzaa na kuishi na mke for 30 years then one day he decided or realized he was gay so you never know.

Hao wanaozusha siwalaumu hata Mange na yeye kazushia wenzie mengi tuu so wote hamnazo kazi kutuhesabia mali zile zile walizoachiwa na baba yao hamna mali mpya walizoziongeza wao sana sana bila aibu kasema zimeshuka to 80%.

Linda nae mdomo mchafuuu matusi mengi mno.

Anonymos wa Mange ndo uwii wamempania Nargis yani siku yake ikifika sijui...fingers cross kichaa cha mtu kiishe au mchaga mwingine aje na mbinu mpya ila ile ya Viola kali kila nikifikiria stunt waliyopull nachekaaaaa Mange alidhani mume wa Viola angeside nae kumbe inaelekea jamaa kaside na mkewe wakamchezea muvi....
 
mmmmhh!!!!
Hii habari sio nzuri kabisa.

And kwakuwa wao ni watu wazima basi wanajua walitendalo though ni vizuri wakafikia point wakakumbuka kuwajali walowaleta duniani. Sie wengine tunashabikia tu ubuyu ila lipo la kujifunza hapa.

kweli kabisa usemayo
 
Unapata Faida gani ????? Mwacheni m kaka wa watu dah !!! Too much sasa .unamchukia mtu kiasi cha kumzalilisha mume wake !!!! Go to hell with your evil spirit .umenishangaza sana wewe .kaaah

wanamfanyia kusudi maana ye anapenda kukosoa wenzie dah hii kali jamani
 
Mtu yaani anaamka asubuhi kabisa badala ya kuwaza nitafanya trick gani ili niweze kujiongezea kipato. Anakuja anaingia jamii forums anaanza construct thread kama gazeti just tu kuongelea maisha ya mtu mwingine. Hiyo energy iliyotumika construct gazeti ingeweza hata kuzalisha 10 business ideas. Dah kweli duniani tupo tofauti sana. No wonder watu wachache sana wanafanikiwa. Halafu washabiki wa haya maugomvi wengi ni losers. Hao wanaowashabikia wanawapotosha sababu inaonekana wote wapo njema.
 
Lance lance lance.... Dinazarde imekaaje hiii.....kwi kwi anachafua wenzie tena kwa uongo wa kutunga awafurahishe akina koku hii nayo imeanza kushika kasiiii
 
Last edited by a moderator:
Kuna mwalimu humu celebrity ana mdomo mrefu kasemwa kule U turn! Nani huyo mwenye kiherehere? Hahahahahaaaaaaaaaa! Ngoja nikamletee kichambo chake. Nani mshika chaki anashindana na LE MILLIONAIRES DAUGHTER?

hahaaaaaaaaaa !nshaletewa au labda lingine!!
hapa ni burdani tuuuu hakuna tusi jipya
 
Unapata Faida gani ????? Mwacheni m kaka wa watu dah !!! Too much sasa .unamchukia mtu kiasi cha kumzalilisha mume wake !!!! Go to hell with your evil spirit .umenishangaza sana wewe .kaaah

Mume wakeyupo straight banaa.he is not gay at all.Hapo upo wrong wrong wrong .Mzungu gay ushawahi ona anavyovaa wewe.Watanzania kwa uzishi sio vizuri .

Hahahaaaaaaaa! Leo umemtetea Mange Makubwaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Au ndo kujisafisha huko maana kuna kichambo cha wana celebrity vidomo domo kinakuja! Hahahahaaaaaaaaa! Ashaanziwa mshika chaki kidomo domo badala aandae mitaala huko anakuja kuchamba humu. Yani hio siku hio nishaiwekea chamdor (sina mambo makubwa mie ya MOET)
 
hahaaaaaaaaaa !nshaletewa au labda lingine!!
hapa ni burdani tuuuu hakuna tusi jipya

Hahahahaaaaaaaa! Kumbe ndo wewe? Seriousli ni wewe au kuna mwingine niendeleee kuchimba humu mie? Maana si ya kukosa hii.
 
Hahahahaaaaaaaa! Kumbe ndo wewe? Seriousli ni wewe au kuna mwingine niendeleee kuchimba humu mie? Maana si ya kukosa hii.

hahaaaa ndo mimi shosti wala sina habareeee nimechambwa ila alochokiweka linda ig mda huu nimejiskia vbaya na km ni kweli bas mi namuonea huruma mange km mwanamke wa kitanzania haki ya mama tena na napunguza mdomo kweli kabisa
 
Hivi wewe mwalimu mzima, ambae umepewa jukumu la kukuza young minds unawezaje kumshabikia yule 0 brain Lindapapa mtu hata sekondari kama alipita pita mambo yake yalikuwa si mazuri? Ameweka hio marriage certifcate au evidnce yoyote? Au akitungacho mnakiamini tu?
 
Kwa nliyayaona ig jion hii ngachoka...kifuatacho ITV .....andaa popcorn na pepsi barid na miwani ya mbaooo...du! So sad
 
Halaf dogy masta ni mange kuna sehemu kakoment kajichanganya looooo nikajua huyu ni.mangee kwelii yaan warumi anapitwajeeee ubuyuuu

Yani binamu nilikuwa naugua kwa kukosa umbea, nilimic sana ma juicy ya umbea, nimerudii
 
Last edited by a moderator:

yani kuna maisha baada ya kazi ht mange pia nae ana mapungufu
but lara ushauri nipe baadae kwanza nafkria as human being kwa sasa try to wear manges shoes kwa ile picha nimejskia vbaya sana nisiwe mnafki
just tell me whatever u feel
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…