yani kuna maisha baada ya kazi ht mange pia nae ana mapungufu
but lara ushauri nipe baadae kwanza nafkria as human being kwa sasa try to wear manges shoes kwa ile picha nimejskia vbaya sana nisiwe mnafki
just tell me whatever u feel
Kwa nliyayaona ig jion hii ngachoka...kifuatacho ITV .....andaa popcorn na pepsi barid na miwani ya mbaooo...du! So sad
inategemea km kweli ntakataa kwa nje ndani naumia km uongo piaWe mimi nikianzisha post hapa mumeo shoga, sitoi evidence yoyote itakuuma au utaniona mwehu tu?
inategemea km kweli ntakataa kwa nje ndani naumia km uongo pia
ila wanaoniangalia mpaka waje kuprove itakua too late
umeenda ig?
kwa linda?
Sio Kama namtetea mange ila mume wake anawahusu nini.wamwache kaka wa watu jamani.i feel sorry for the men.Imagine kaka ako kamwoa mange .Hahahaaaaaaaa! Leo umemtetea Mange Makubwaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Au ndo kujisafisha huko maana kuna kichambo cha wana celebrity vidomo domo kinakuja! Hahahahaaaaaaaaa! Ashaanziwa mshika chaki kidomo domo badala aandae mitaala huko anakuja kuchamba humu. Yani hio siku hio nishaiwekea chamdor (sina mambo makubwa mie ya MOET)
Mi nasikitika sanaa kuona ticha mzima unachotwa akili na mtu hata darasani hajakaaa! We si ulifundishwa tofauti ya fact, theory, na speculations? Sometime tumia shule yako kwenye majungu. Mi lindapapa simlaumu cos shule hajaenda hawezi kujua hizi tofauti. Pale katoa tu speculations ambazo hazina ground yoyote. Angeweka marriage certificate au picha wana kiss or anything lakini sio kuropoka tu. Mtu na akili zangu kama mie hawezi kunipata kirahisi hivo. Na pale mlio amini mijinga tu.
Nijisafishe ya nini.hamna kitu Kibaya kumzushia mtu lesbian au gay ,kumzushia mtu kifo,kumtukana mtu Mzazi .lara una mtoto ? .life is easy and simple relax and eat and shop and watch tv .Ingia online shopping .Huyo mange anazidi kuwa na maadui ambao hawahitaji.Ningekuwa mange Linda na wanaolumbana mtandaoni wange shutdown Internet activities for a while .Hahahaaaaaaaa! Leo umemtetea Mange Makubwaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Au ndo kujisafisha huko maana kuna kichambo cha wana celebrity vidomo domo kinakuja! Hahahahaaaaaaaaa! Ashaanziwa mshika chaki kidomo domo badala aandae mitaala huko anakuja kuchamba humu. Yani hio siku hio nishaiwekea chamdor (sina mambo makubwa mie ya MOET)
kama unavyomiamini mange(km una unamuamini maana sina hakka)ndo mie ninavyomuamini linda pia
na kingine kusoma kuelewa kukesha mbwembwe tu
mtu mange msomi wa masters yuko vile dah hatari sana na inawezekana mim(mwl),wewe na mange wote wajinga mi haya kwangu naona km na shule zetu
mimi kwa kumuamini linda mjinga
mange kubishana na kumchamba linda na wote wanaomsapoti
wewe kumtetea mange
Yani dada ww ndio mwalimu?inategemea km kweli ntakataa kwa nje ndani naumia km uongo pia
ila wanaoniangalia mpaka waje kuprove itakua too late
umeenda ig?
kwa linda?
hhhhhaaaaaaaKweli sisi ni asili ya unguja Pemba .pilau biriani mdundiko na maji ya madafu ndio sultan aliyotuachia.kutwaaaaaaa keleleeeee tena na Kelele za USA hata vitumbua vya iliki hamna .tupo bado kwenye mkate wa siha.ugomvi ukianza mtaa mzima.Turudi tanganyika kwenye sun vita na visheti
kwa kweli umeongea vizuriNijisafishe ya nini.hamna kitu Kibaya kumzushia mtu lesbian au gay ,kumzushia mtu kifo,kumtukana mtu Mzazi .lara una mtoto ? .life is easy and simple relax and eat and shop and watch tv .Ingia online shopping .Huyo mange anazidi kuwa na maadui ambao hawahitaji.Ningekuwa mange Linda na wanaolumbana mtandaoni wange shutdown Internet activities for a while .
nachukua uturn materialsYani dada ww ndio mwalimu?
Ndio msna division five zinaongezeka shule. Unaandaa material saa ngapi?
Hivi unajua photo shoot? ?hahaaaa ndo mimi shosti wala sina habareeee nimechambwa ila alochokiweka linda ig mda huu nimejiskia vbaya na km ni kweli bas mi namuonea huruma mange km mwanamke wa kitanzania haki ya mama tena na napunguza mdomo kweli kabisa
hhhhhaaaaaaa
kwa kweli umeongea vizuri
yanyoendelea ni utoto na ujinga maana alichofanya linda leo sijui kesho mange atajibu nini
Hivi unajua photo shoot? ?
Jaribu kusoma vitabu na kifanya research hata masaa mawili kwa wk jamani. Matuongezea ujinga watoto wetu ikiwa walimu wanachotw akili hivi na wanaamini, sijui wanafunzi ndio inakuwaje
Leo ndio unajua kuna vibaya, subirini zamu yenu mana mwendawazimu hachagui
heeee vp kwani bibi weweee!!haya na aje atuchambee
hivi mtu anakuchamba anonymuos hyo akili matope
mbona umenikomalia sana shosti
haya aje achambeee tani yake sipungukiwi na chochote then unaeza kuta siku hyo sipo jf
ungejuaaaa hahaaaaaa
yani usiongee unavyojiskia inaonekana tunajikosha dah kazi kwelikweli ungenambia pale nilipokuambia nafuta comment basLeo ndio unajua kuna vibaya, subirini zamu yenu mana mwendawazimu hachagui
geniveros kama hujajua nw wanakuattack wewe personally....wanataka wakubully useme nao.Sijaona baya ulilofanya zaidi ya kuelezea hisia zako na jinsi unavokerwa na tabia ya kubully as for kichambo huyo zels kasema Mwendawazimu hachagui, sio ww ulosema ivo.Kachamba shoga zake seuze anony!yani usiongee unavyojiskia inaonekana tunajikosha dah kazi kwelikweli ungenambia pale nilipokuambia nafuta comment bas
Nakuambia ukweli dada, kuchamba kwingi...
nachukua uturn materials