Mrembo byongo live on muosha rungu TV show!

Mrembo byongo live on muosha rungu TV show!

Utotoni mwako majirani wana mchango wowote positively or negatively!? Why

DJ sepetu
Aisee NEGATIVE

Nna jirani alikua ananchukia sana,alidiriki hadi kumwambia mama yangu that angekua na uwezo angenihamisha pale nyumbn kwa asivo nipenda

Ikafika point nkimsalimia hajibu

Sema nliendelea msalimia kwa heshma tu ya wazazi wangu,,,Ila yule mama jamn (na ni mtu mzima sa hvi ana miaka almost 5 tangu astaafu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom