Pole Kwanini alikuwa hivyo kwakoAisee NEGATIVE
Nna jirani alikua ananchukia sana,alidiriki hadi kumwambia mama yangu that angekua na uwezo angenihamisha pale nyumbn kwa asivo nipenda
Ikafika point nkimsalimia hajibu
Sema nliendelea msalimia kwa heshma tu ya wazazi wangu,,,Ila yule mama jamn (na ni mtu mzima sa hvi ana miaka almost 5 tangu astaafu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Alinichukiaga tuu..Pole Kwanini alikuwa hivyo kwako
DJ sepetu
Sorry!it seems you were very intelligent and beautiful!Alinichukiaga tuu..
Imagine graduu ya mwanae ya form 4,alikuja mchukua mdgo wangu waende nae me akaniacha..na nlikua darasa la 5!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba mkaliiiiiii yet ana hurumaSorry!it seems you were very intelligent and beautiful!
Unamkumbuka babako kwa nafasi gan ktk makuz yako
DJ sepetu
Responsible father!Baba mkaliiiiiii yet ana huruma
Tukalamika kwa ndgu kwamba baba mkali tunaambiwa hamna,baba enu anawapenda sana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
I believe in God YesResponsible father!
Do you believe in God
Kwako Mungu ana nafasi gan
DJ sepetu
Wale atheist unawachukuliajeI believe in God Yes
Mungu kwangu ana nafasi ya kwanza kabla ya chochote,,,!
Sent using Jamii Forums mobile app
Atheist ndo watu wa aina gani?!Wale atheist unawachukuliaje
DJ sepetu
Anhaa..Ni watu wasio Na dini
DJ sepetu
Naweza teteaWewe unaweza tetea unachokiamin
Au umerithi tu din
DJ sepetu
Don't pass through...!!!We are tired of your non- logical interviews
Sent From My Nokia Ya Tochi