Mrembo Jack Patrick atoka na viwalo vya 8m

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Hivi huyu jamani kama navaa viwalo vya 8m kwa mujibu wa yeye mwenyewe je kumtokea unahitaji uwe na ngawira kiasi gani? Hapo hajaongelea uwekezaji kwenye makalio, chuchu, na hata nani hii....
 

Attachments

  • Jackline Patrick.jpg
    128.7 KB · Views: 7,197
tehetehe mtoto wa kike anajinadi, halafu watu wakiwatumia vibaya mnalalamika. so hiyo price yeye ndo kaona kitu cha maana sana
 
Ngoja mapedejee wamwone hizo m8 kwao ni kama mia nane.
 
Yeye kaamua kuwekeza kwenye viwalo! lol

KUPANGA NI KUCHAGUA!!
 
Dem kawa mjanja siku hizi miaka kadhaa iliyopita alikuwa mshamba mshamba pale njombe maeneo ya matalawe ila ni kitu fulani .5 cha ukweli! baba yake nasikia ni mwingereza aliyekuja na kampuni ya Balfour Beaty kujenga barabara ya makambako-songea, alimpa mimba m'bongo halafu akasepa kwa hiyo hawajuani na baba yake.
 
Nina uhakika hiyo shopping ingeweza kufanyika na milioni saba laki tisa na elfu hamsini ikabaki...!!!
Na still appearance ikawa hiyo hiyo na hakuna mtu angeona tofauti
 
hivi huyu jamani kama navaa viwalo vya 8m kwa mujibu wa yeye mwenyewe je kumtokea unahitaji uwe na ngawira kiasi gani? Hapo hajaongelea uwekezaji kwenye makalio, chuchu, na hata nani hii....

na nyumba yake anayoishi amenunua/kujenga kwa milioni ngapi? Gari lake alililonunua ni milioni ngapi??

 
Hahhahaaaaa tena kaka "MAJI MPAKA KIDEVUNI", Huo urembo wa mkakasi ndani kigome cha mti tu.M8 na tigo inawaka moto kwa kuchubuliwa mavi yake....
khaaaaa!! Wandugu!
 
She deserve to be there na akili yake ya kushikiwa,anatembea sana kwenye matapishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…