Mrembo Jack Patrick atoka na viwalo vya 8m

Huyo naye ni HOPELESS, anapenda akishavaa anaenda kwenye magazeti ya udaku kupiga picha ajionyeshe. Ni maskini wa kutupwa huyo hana lolote


Hivi huyu jamani kama navaa viwalo vya 8m kwa mujibu wa yeye mwenyewe je kumtokea unahitaji uwe na ngawira kiasi gani? Hapo hajaongelea uwekezaji kwenye makalio, chuchu, na hata nani hii....
 
hiiz tamaa na show off,but mimi ndo naapenda watu kama hawa,naala bure kw sera tu halafu yeye ahangaiek kujiremba ,haka kkatoto kalikua kademu ka liumba haka,kakanunuliwa ile saloon car ya maroon.now kanabeba mzigo wa yule jamaa wa kizenji.brazil,china and south africa.
 
we kweli inamjua aliktolewa na liumba now anamiss hayo maisha anabebeshwa mzigo huwezi amini.
 
Mh she's dressed 8mil?! What does she do 4 a living kwani?!
 
kumbe hzo gharama alizotraja ni kwa mujibu wake basi kweli ila ingekua kwa mujibu wa risiti sawa
 
Hongera Dada Nakukumbuka sana kwenye video ya Ngwair ,SHE GOT GWAN,Kweli U got gwan,Mil 8 mwilini??? Sipati picha nyumba unayokaa na gari lako....Hongera Endelea hivyo hivyo mpaka ufikie viwalo vya milioni 300....
 
Mh. Naona ameamua kutangaza biashara kabisa. Wenye pesa zenu pangeni foleni maana anataka ATM (8m)
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
she's a tanzanian model and aliuza sura kwenye video ya ngwair &quot;she gotta gwan&quot; thats all i know.
<br />
<br />
seriously guys hatuwez kumjadili kama hatumfahamu zaid ya kuonekana kwenye shooting. anyway kwenye hiyo shooting ni ya mwaka gani? na alipwa au alifanya bure hiyo shooting.? tunatakiwa kujua income yake and its source. ndo tuseme ni mjinga au anatumia pesa zishamzoea.
 
Hao ni lazima walipata tiba ya mafisadi, la sivyo hela kapata wapi.
 
makini hiii imekaa vizuri
Hivi huyu jamani kama navaa viwalo vya 8m kwa mujibu wa yeye mwenyewe je kumtokea unahitaji uwe na ngawira kiasi gani? Hapo hajaongelea uwekezaji kwenye makalio, chuchu, na hata nani hii....
 
Inawezekana sana ila si mumewe amekamatwa kwa dili ya kuuza madawa ya kulevya na yuko rumande.
 
Kasema au wanataka kuuza magazeti yao tu hao na kuchonganisha watu,hata kama anavaa milioni 100 ni yeye,wao ina wadhuru nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…